Uchaguzi 2020 Iringa: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Iringa una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:

Iringa Mjini -
Jesca Msambatavangu(CCM) - Kura 36,034
Peter Msigwa(CHADEMA) - Kura 19,331

Kalenga -
Jackson Kiswaga (CCM)

Isimani -
William Lukuvi (CCM) - Kura 24,394
Patric Ole Sosopi (CCM) - kura 10,399

Kilolo -
Lazaro Nyamoga (CCM)

Mafinga mji -
Cosato Chumic(CCM)

Mufindi Kaskazini -
Exaud Kigahe (CCM)

Mufindi Kusini -
David Kihenzile (CCM)

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Kuna tetesi kua maeneo ya Kihesa kumetokea vurugu kubwa kati ya polisi na raia mwenye taarifa atufahamishe kulikoni.
 
Chadema wangekuwa angalau na kaustarabu la hivi kwenye issues za muhimu, wangeweza kutushawishi sisi tusio na vyama kuwaunga mkono nyakati fulani fulani. Lakini kupinga na matusi muda wote, mhhhh ......!!

Tundu ndio alitia fora kila alipopita wananchi walikosa hamu ya kumfatilia wengi walijuta hata kwenda kumwona. Maana hajawahi ongea kwa wema chochote kinachofanyika au kilichofanyika tangu Tanzania kuumbwa. Alijua ndio ujanja kumbe hapo ndio alijipoteza
 
Consequences zake kwa chadema zitakuwa za muda mrefu sana, maana watu watauona mtazamo wa Lissu kuwa ndio mtazamo wa chadema!
 
Chadema wangekuwa angalau na kaustarabu la hivi kwenye issues za muhimu, wangeweza kutushawishi sisi tusio na vyama kuwaunga mkono nyakati fulani fulani. Lakini kupinga na matusi muda wote, mhhhh ......!!
Wasio na chama hatuwataki huku, Opposition sio mchekea, sio lelemama kiasi ata warembo Kama wewe m-join
 
Back
Top Bottom