kalamu ya chuma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 214
- 62
kwa sifa hizi za iringa ulizotoa,basi Msigwa toshaaaaa kabisa maana iringa sasa yapendeza na hakuna wa kupinga,tuacheni na msigwa wetu teheteheeeee
P kwanza heshima kwako swahiba wangu. Nafurah kuona post yako toka siku ulipoteza Dom kwenye kiti moto..Mkuu Mzee Tupa Tupa, japo watu watakubeza, ila huu ndio ukweli wenyewe, japo sikubaliani na wewe kuhusu haja ya kutofanya uchaguzi. Uchaguzi wa wabunge ma madiwani uendelee, uchahuguzi wa rais ndio usifanyike, kwa sababu rais Magufuli, anaendelea hivyo uchaguzi wa rais ni wastage of time, money and resources.
Na kama atakayesimamishwa na CCM Iringa ni Balozi Mahiga, then, Msigwa ataendelea, ila kama atasimamishwa Mwakalebela ndipo nitamshauri Msigwa ama, aage, ama ajisalimishe.
P.
Msigwa watamtoa kwa goli la mkono ila sanduku huru Bado sanaHapo naona una bwabwaja tu maneno ndugu yangu, kumchomoa mgimwa iringa mjini mnahitaji gori la mkono, hivi hivi imekula kwenu
Mahiga amezeeka sana, acha vijana waendelee kutupa vitu adimuNipo kwa watani zangu mkoani Iringa. Nilikwenda kwanza kutembelea shamba langu la miti ya Mbao Mufindi na kuona kazi za kutayarisha Mbao za kibiashara zinavyoendelea. Leo nimeamua kuja 'kuosha macho' hapa Iringa Mjini, Jimbo linaloongozwa na Mbunge Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA. Kama ilivyo ada, nilianzia Ofisi ya CCM mkoa kuwasabahi na 'kuwaarifu' kuwa nipo Iringa.
Nimeshatembeatembea sehemu mbalimbali za Jimbo hili. Hakika, Iringa Mjini imebadilika. Inag'aa kama nyota iliyowaongoza Mamajusi. Kimaendeleo, imepiga hatua kubwa. Kimazingira,iko safi kuliko karibu makao makuu ya mikoa ambayo tayari nimeshafika. Iringa kunajengeka, kunasonga mbele. Pia, wanaIringa Mjini sasa ni majasiri wa kuongea, kuamua na kufanya. Wana uCHADEMA wa kutosha.
Iringa Mjini si ile ya kabla ya Mbunge Msigwa. Siogopi wala sisiti kumpa hongera Mbunge Mchungaji Peter Msigwa, ingawa inayotekelezwa Jimboni humu, kama yalivyo majimbo mengine, ni Ilani yetu ya CCM. Lakini, utekelezaji wa Ilani hutanguliwa na ushawishi, uongozi bora na uthubutu. WanaIringa Mjini, nawapongeza sana kwa kusonga mbele kimyakimya lakini kwa haraka.
Namwambia Mchungaji Msigwa, mwaka 2020 asijisumbue kugombea. Aendelee na mambo yake mengine. Jimbo linakwenda kwa Balozi Agustine Mahiga, Waziri wa sasa wa Mambo ya Nje. CCM tumejipanga Iringa na tumepangika. WanaCCM Iringa, kwa wingi wao, wameshamchagua Balozi Mahiga kuwa Mbunge wao kuanzia 2020-2025. Wanasubiri kipenga tu kipulizwe mwaka 2020.
Nakupongeza Mbunge Mchungaji Peter Msigwa, nakutakia safari njema katika kuelekea kwenye majukumu mengine nje ya Ubunge. Kwasasa, hapa Iringa Mjini, unatajwa kwa mema na kwa ustadi wako katika kushawishi na kushiriki. Nitakuja kukusalimu kesho. Leo nimekaribishwa kwa Rafiki yangu Mahmud Mgimwa.
Kwa Tume ya Uchaguzi hii na Sheria za Uchaguzi hizi, hakuna haja ya uchaguzi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Iringa Mjini)
Mkuu wewe umeshampasisha miaka mingine 5 sio??? sawa!!!.Mkuu Mzee Tupa Tupa, japo watu watakubeza, ila huu ndio ukweli wenyewe, japo sikubaliani na wewe kuhusu haja ya kutofanya uchaguzi. Uchaguzi wa wabunge ma madiwani uendelee, uchahuguzi wa rais ndio usifanyike, kwa sababu rais Magufuli, anaendelea hivyo uchaguzi wa rais ni wastage of time, money and resources.
Na kama atakayesimamishwa na CCM Iringa ni Balozi Mahiga, then, Msigwa ataendelea, ila kama atasimamishwa Mwakalebela ndipo nitamshauri Msigwa ama, aage, ama ajisalimishe.
P.
Nimesikitika kuyasoma hayo kutoka kwako mzee wangu.Mkuu Mzee Tupa Tupa, japo watu watakubeza, ila huu ndio ukweli wenyewe, japo sikubaliani na wewe kuhusu haja ya kutofanya uchaguzi. Uchaguzi wa wabunge ma madiwani uendelee, uchahuguzi wa rais ndio usifanyike, kwa sababu rais Magufuli, anaendelea hivyo uchaguzi wa rais ni wastage of time, money and resources.
Na kama atakayesimamishwa na CCM Iringa ni Balozi Mahiga, then, Msigwa ataendelea, ila kama atasimamishwa Mwakalebela ndipo nitamshauri Msigwa ama, aage, ama ajisalimishe.
P.
Siku hizi mabanda ya CCM yamegeuka gerej za boda Boda na Bajaj. Kitimoto nani mwenye uwezo wa kula?We mzee muda mwingine unakuwaga mchawi flani hivi....anyway ukipita mabanda ya ccm wasalimie wachoma kitimoto wote
Mungu mbariki MsigwaBasi sawaaaaaa he is a theologist by the way Hana shida View attachment 813928
Tunajua wachumia tumbo wengi wanamtaka Mahiga ili awanunulie ulanzi kama anavyofanya Lukuvi IsmaniMh Peter Msigwa akisimamishwa na Balozi Mahiga kwenye uchaguzi lazima Msigwa ashinde uchaguzi
Dj Edo yupo? Mindu vipi bado ipo? Longtime sana asee doohSiku hizi mabanda ya CCM yamegeuka gerej za boda Boda na Bajaj. Kitimoto nani mwenye uwezo wa kula?
Kihesa penyewe siku hizi ni balaa. Maisha magumu kiasi kwamba ukimtongoza demu tuu imekula kwako. Lazima akupige gwala akusachi hadi Senti ya mwisho.
Wenyewe wana kamsemo kao "kihesa haijawah kumuacha mtu salama bheee"
Iringa zaidi ya kula vibua na mboga za majani hakuna tena mboga, hata samaki wa mtera ni ishu bei haishikiki.
Naipenda tuu kwasabb ya barabara mpya ya lami hadi Dom. Na usafi wa mjini ingawa soko kuu Bado pachafu taka hazimwagwi kwa wakat.
Bidada Jane Msowoya, pole na usisikitike, huo ndio ukweli wenyewe.Nimesikitika kuyasoma hayo kutoka kwako mzee wangu
Huwenda nawe unatetea kibarua chako TBC maana 60 ushagonga
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?Hapo Kwenye Red Unamaanisha Nini Mkuu?
Unabet Kuwa Magufuli Will Win Au Atatumia V.A.R Za NEC?
nikizifikiria kauli za jiwe na hali ilivyo naiwazia Mbeya yangu tu!! ile takataka ambayo haija "tulia" ndo wanataka ituongoze Mbeya! kweli???? daah basi tu Mungu anajua.Sugu nitamuheshimu milele,na wakituletea ile takataka inayofadhili mbio za mbuzi haki damu zitamwagikaNipo kwa watani zangu mkoani Iringa. Nilikwenda kwanza kutembelea shamba langu la miti ya Mbao Mufindi na kuona kazi za kutayarisha Mbao za kibiashara zinavyoendelea. Leo nimeamua kuja 'kuosha macho' hapa Iringa Mjini, Jimbo linaloongozwa na Mbunge Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA. Kama ilivyo ada, nilianzia Ofisi ya CCM mkoa kuwasabahi na 'kuwaarifu' kuwa nipo Iringa.