Ireland bado kuna ubaguzi wa rangi

Nilifikiri wabaguzi ni DP World na Waarabu wa Dubai.
Hakuna sehemu ambayo mwafrika habaguliwi. China, India, Ulaya na pia Uarabuni. Mimi huwa nasema tunastahili kwani sisi ndiyo tunayataka hayo. Tunaanza tatizo kwa kujichukia sisi wenyewe. Ni Afrika pekee ambapo raia wake anaweza kuhamishwa kwa nguvu ili mwarabu apate sehemu ya kufanya uwindaji na ufuksa wake na wanawake au mzungu apewe sehemu ya kuchimba madini. Na mbaya zaidi fedha zinazopatikana zinatumika kwenye anasa na watawala na familia zao kama mama Abdul anavyofanya na mwanawe. Tena wazungu angalau wanapigana na tatizo la ubaguzi kwa nguvu zote siku hizi lakini mwarabu au mchina wanatuona kama takataka tu.
 
Mwafrika mwenyewe ujuwe ndiye mbaguzi wa kwanza.

Kula uliwe.
 
Hili nitalikataa kwa nguvu zote. Mwafrika anapenda sana ngozi nyeupe na yuko tayari kusaliti waafrika wenzake ili amfurahishe ngozi nyeupe.
Anapenda wazungu kwa sababu walimdanganya kuwa ndiyo mungu wao.

Kama unabisha towa z kwenye mzungu inabaki nini?
 
Hakuna sehemu ambayo mwafrika habaguliwi. China, India, Ulaya na pia Uarabuni. Mimi huwa nasema tunastahili kwani sisi ndiyo tunayataka hayo. Tunaanza tatizo kwa kujichukia sisi wenyewe. Ni Afrika pekee ambapo raia wake anaweza kuhamishwa kwa nguvu ili mwarabu apate sehemu ya kufanya uwindaji na ufuksa wake na wanawake au mzungu apewe sehemu ya kuchimba madini. Na mbaya zaidi fedha zinazopatikana zinatumika kwenye anasa na watawala na familia zao kama mama Abdul anavyofanya na mwanawe. Tena wazungu angalau wanapigana na tatizo la ubaguzi kwa nguvu zote siku hizi lakini mwarabu au mchina wanatuona kama takataka tu.
Na hakuna dalili ya kuondokana na hili tatizo.
Tukiacha ubinafsi,chuki sisi kwa sisi ndio na wengine watatueshimu.
 
Back
Top Bottom