Iran yaishambulia tena kambi za magaidi sasa ni zamu ya Pakistan

Ni Mjinga peke yake anayeweza kuamini Waislam wanaweza kuishi kwa amani duniani

Imagine Iran anaishambulia Pakistan, nchi yenye Nyuklia



View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747324633538322845

Na ni mjinga pekee anadhania kwamba waislam hawawezi kuishi bila amani

Kwahio kama inanyuklia ndio nini yaani?

Hata ukiwa na nyuklia magaidi wakijificha kwako kuna level wakifikia watatwangwa tu yaani

Hata wewe tukikupa nyuklia ukae nayo kwako ukafuka magaidi tutakuzika na nyuklia huko huko kwako yaaanj
 
Asingejibu mngesema iran ni mbwa koko akijibu eti kuna kitu anakitafuta nyie mna matatizo sio bure
Amewajibu magaidi wenzake wa jaish ul Adl. Hawa magaidi wanapambana na Iran tangu mwaka 2012. Wanataka kujitenga.
 
Nchi ipo wanayopigania zaidi ya kuleta fujo na mauaji ya kikatili?!
Hata hueleweki unazungumzia nini.
US asingefadhili zionism movement Hizbollah isingekuwepo.
US asingefadhili kuingilia regime ya Yemen houthi wasingeshika silaha maana houthi kilikua chama cha kawaida cha kisiasa kama CCM au ACT.
 
Kwa kushirikiana na mamlaka za Pakistan
Hawajazungumza na yoyote na wameenda kupiga Wassuni ambao wanatunzwa na Pakistan nchi ya Kissuni.

Waislam Middle East za Hizo nchi hawaamini Kama Washia ni Waislam, na ukijumlisha matendo ya Iran
 
Kumekucha tena:Breaking.......

Iran yaishambulia tena kambi za magaidi sasa ni zamu ya Pakistan...Makombora ya Iran yalenga kambi za magaidi wanaoungwa mkono na Israel huko Pakistan

️BREAKING

IRGC struck terrorist Headquarters inside Pakistan

Jaish Ul Adl headquarters were hit and destroyed by ballistic missiles and drones.

BREAKING : IRGC now confirmed it has just launched several medium range ballistic missiles and drones towards the headquarters of Jaish Al-Adl terrorist group near city of Panjgur in Balochistan province of Pakistan.

IRGC is doing some remarkable work against global terrorism.
This time targeting (in cooperation with the Pak-Army) with ballistic missiles and drones, the Israel-backed Jaish Al-Adl group in Baluchistan, Pakistan.
May ALLAH unify the Ummah against the common enemies.

BREAKING : @OfficialDGISPR confirmed, 19 Iranian missiles and drones hit the targets in the Panjgur area of Balochistan.View attachment 2873927
Mbona makomandoo wetu wamechoka sana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom