Iran yaishambulia tena kambi za magaidi sasa ni zamu ya Pakistan

Ila hawajakuzidi
Kama wanaweza KUPIGANA Kwa tofauti ya dhehebu utawaita hawa ni watu wenye Akili timamu?
20240115_204111.png
 
Hii ni sawa na kupigwa mkwara na jirani Yako alafu ww unaenda maliza hasira zako kwa mkeo badala ya kupambana na mwanaume mwenzako ama unagombana na jirani hasira unazipeleka kwa watoto.
 
Wanapiga watu wao,waneanza head quarters Iraq,wakaenda Syria,Sasa Pakistan,huko mpaka wa misri na Israel Kuna vidume vimevuka mpaka,vilikua 20 tu,tia kichapo wanajeshi wa Israel,kwa woga wakapeleka Apache helicopters,yaani muziki Yemeni, Gaza mpaka Pakistan
 
Tunakoelekea sasa hivi, dunia inaelekea kuchafuka kama busara haitatumika; ni muda muafaka kwa kila nchi kuwekeza bajeti kubwa jeshini
 
Shida bajeti inaweza ikawa kubwa halafu ground ikawa nothing

Lamhimu ni kila nchi kujiandaa vyema maana tuelekeapo kugumu
 
Wanapiga watu wao,waneanza head quarters Iraq,wakaenda Syria,Sasa Pakistan,huko mpaka wa misri na Israel Kuna vidume vimevuka mpaka,vilikua 20 tu,tia kichapo wanajeshi wa Israel,kwa woga wakapeleka Apache helicopters,yaani muziki Yemeni, Gaza mpaka Pakistan
Hii ya israhell sijaipata mzee hem iongezee nyama mbona kama imenivutia

Wameuliwa wazayuni wangapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom