Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,036
- 6,283
Kwani Iran Huwa hasaidiwi na Russia na North Korea?Israel ambayo jana imesaidiwa na US, UK, Jordan, na Saudi Arabia?
By the way, msaada umeombwa baada ya tukio. Hakuna msaada waliotoa hao iliowataja wakati wa tukio.