Iran yafanya kosa kubwa kuishambulia Israel. Israel hawanaga shoo ndogo

Mr Alpha

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
211
584
Kama kuna kosa kubwa wamewahi kulifanya Iran toka kuundwa taifa hilo ni hili la kuishambulia Israel. Hawa Israeli huwa hawanaga shoo ndogo ukiwachokoza uwe umejipanga vya kutosha lazima wakujibu kisawasawa, niwahakikishie tu shambulio la jana HALITAPITA BURE litajibiwa kimkakati mno.

Hatari kubwa ilionao utawala wa Iran ni vuguvugu la mapinduzi ya ndani dhidi ya sheria kali zinazowanyima uhuru na haki raia wengi hususan wanawake ambapo miaka ya karibuni kulizuka wimbi la maandamano kupinga sheria hizo na kifo cha binti Mahsa Amin aliyeuawa na polisi kwa kosa la kutokufunika kichwa. Vuguvugu hilo la ndani ni mtaji kwa Israel, wanaweza kupenya na kufanikiwa kirahisi ajenda zao.

Kitachotokea kwa Iran kama sio mashambulio ya moja kwa moja basi ni hujuma za kimkakati na mipango ya kuangushwa utawala wa Ali Khamenei itaanza.

Kwa wale msiojua, Israeli ndio mabingwa wa ujasusi duniani kuliko hata CIA. Unaambiwa mashariki ya kati wana maajenti wengine mpaka ni wanazuoni wakubwa wa kidini kwenye mataifa ya kiarabu, inasemekana hata kiongozi wa Islamic state Al Baghdad alikua jasusi wao na alibadilika baada ya kupishana maelewano baada ya misheni.
View attachment 2963885
 
Hiyo shoo kubwa waliwahi kuifanya wapi kama sio kwa Hamas tu.

Israel hawezi kuingia vita yoyote ile bila kuwa na uhakika wa msaada wa USA, UK ujerumani, ufaransa nk nk.

Hata hiyo stori ya vita ya siku sita ni propaganda tu NATO ndiyo waliopigana hiyo vita
 
Hakuna jipya watafanya. Iran wanasema hawajatumia hata hypersonic moja. Ndege za nchi kama nne zimeshinda angani usiku kucha zinaangusha makombora. Walijua Iron dome isingeweza. Angeachwa yeye kama yeye jana ingekuwa ni disaster. Na iran imesema wakijibu wao watajibu mara mbili zaidi.

Kikubwa tuombe waishie hapo. Hata hivyo media zinqshirikiana kudanganua kuwa hakuna hata kombora moja lililofanikiwa ili kuitengenezea mazingira Israel uwezekano wa kukwepa kulipiZa kisasi
 
Sasa unategemea Israel watakwambia km wamekufa?au wamewahi kukutangazia tangu waanze kushambuliwa na Hezbollah raia wao wamekufa wangapi?hyo ndio destuli yao usa na israel huwa hata wakishambuliwa husema hawajaumia huku wanaugulia km walivyopgwa kambi zao na iran kule iraq walikataa hakuna majeruhi baadae ikajulikana ukweli
Eti wanajisifu kurusha makombora yasiyoua ata nzi wakiisrael.

Sasa ngoja mtoa roho ajibu usikie vilio vya wanaonewa.
 
Kama kuna kosa kubwa wamewahi kulifanya Iran toka kuundwa taifa hilo ni hili la kuishambulia Israel. Hawa Israeli huwa hawanaga shoo ndogo ukiwachokoza uwe umejipanga vya kutosha lazima wakujibu kisawasawa, niwahakikishie tu shambulio la jana HALITAPITA BURE litajibiwa kimkakati mno.

Hatari kubwa ilionao utawala wa Iran ni vuguvugu la mapinduzi ya ndani dhidi ya sheria kali zinazowanyima uhuru na haki raia wengi hususan wanawake ambapo miaka ya karibuni kulizuka wimbi la maandamano kupinga sheria hizo na kifo cha binti Mahsa Amin aliyeuawa na polisi kwa kosa la kutokufunika kichwa. Vuguvugu hilo la ndani ni mtaji kwa Israel, wanaweza kupenya na kufanikiwa kirahisi ajenda zao.

Kitachotokea kwa Iran kama sio mashambulio ya moja kwa moja basi ni hujuma za kimkakati na mipango ya kuangushwa utawala wa Ali Khamenei itaanza.

Kwa wale msiojua, Israeli ndio mabingwa wa ujasusi duniani kuliko hata CIA. Unaambiwa mashariki ya kati wana maajenti wengine mpaka ni wanazuoni wakubwa wa kidini kwenye mataifa ya kiarabu, inasemekana hata kiongozi wa Islamic state Al Baghdad alikua jasusi wao na alibadilika baada ya kupishana maelewano baada ya misheni.
View attachment 2963885
Wewe ndio hujui Iran ni wanaume Israel wapatpigwa kama mbwa coco,yaani marekani akiingilia urusi wanamtafuta marekani leo kesho.
 
Kama kuna kosa kubwa wamewahi kulifanya Iran toka kuundwa taifa hilo ni hili la kuishambulia Israel. Hawa Israeli huwa hawanaga shoo ndogo ukiwachokoza uwe umejipanga vya kutosha lazima wakujibu kisawasawa, niwahakikishie tu shambulio la jana HALITAPITA BURE litajibiwa kimkakati mno.

Hatari kubwa ilionao utawala wa Iran ni vuguvugu la mapinduzi ya ndani dhidi ya sheria kali zinazowanyima uhuru na haki raia wengi hususan wanawake ambapo miaka ya karibuni kulizuka wimbi la maandamano kupinga sheria hizo na kifo cha binti Mahsa Amin aliyeuawa na polisi kwa kosa la kutokufunika kichwa. Vuguvugu hilo la ndani ni mtaji kwa Israel, wanaweza kupenya na kufanikiwa kirahisi ajenda zao.

Kitachotokea kwa Iran kama sio mashambulio ya moja kwa moja basi ni hujuma za kimkakati na mipango ya kuangushwa utawala wa Ali Khamenei itaanza.

Kwa wale msiojua, Israeli ndio mabingwa wa ujasusi duniani kuliko hata CIA. Unaambiwa mashariki ya kati wana maajenti wengine mpaka ni wanazuoni wakubwa wa kidini kwenye mataifa ya kiarabu, inasemekana hata kiongozi wa Islamic state Al Baghdad alikua jasusi wao na alibadilika baada ya kupishana maelewano baada ya misheni.
View attachment 2963885
Shoo ndogo mpaka leo hii ni mwezi wa sita kijieneo kidogo chenye mgambo elfu moja wameshindwa kumaliza!
 
Kidogo utaskia alikhamenei kashauwawa ,ukiuliza kwann utasikia alihusika kwenye October 7massacre
 
Back
Top Bottom