Kabaridi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 2,023
- 534
- Thread starter
- #41
Bahati mbaya habari ni kitambo toka may 2010 ... Cheki tarehe vid ilikuwa lini uploaded
Njiwa, hata kama Ahmadinejad alisema hayo maneno kale, tayari amesha incite wamedo-persian wenzake. Hivi kilichosalia katika bongo haram la medo-persian ni kutekeleza maafa.