jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,987
- 22,515
We utakuwa mtoto, nani anajiita great thinker?Mnajiita 'great thinkers' huku baadhi yenu mnashahabikia vita! Sasa wakipigina vita, mu-Israeli akashinda au akashindwa wewe mshahabiki itakuwa imekusaidia nini? Ina maana Wa-Iran wakifa wewe utafurahi? au Wa-Israeli wakifa au wakitoweka kwenye ramani, wewe utafurahi? Baadhi yenu naona mmesha anza kupigana hiyo vita tayari humu JF! Kueni. Vita siyo ya kushahabikia hata siku moja!
Halafu hujui hii ni forum?
Either you're too young or too old...