IRAN SUPPORTS Zanzibar SECESSION? NI kweli au uongo?

siku ahmedinajad akidunguliwa na israel au marekani, nitaandaa sherehe nyumbani kwangu niiwaalike majirani na watoto wa mitaani.....and that day is coming...too close that is!
 
Mtasema meeengi sana wadanganyika,

issue iliyopo ni kuwa wazanzibar hawautaki muungano, sasa tatizo lipo wapi?

mnaanza propaganda chafu naona! hivi mnaikili kwa gharama gani mtaweza kuulinda huu muungano? na ni kwa gharama

ya nani?

Suluhisho hapa ni kuweka urais wa zamu tu kama mking'ang'ania huu muungano.
Uvunjike haraka sana hatuwataki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kikundi cha Uamsho ni kikundi chenye sera inayodai Zanzibar huru; na kupitia movement hii viongozi wake wamepewa fungu toka kwa waarabu ili waweze kuendeleza movement hiyo kwa wazanzibar wote; swali la msingi ni kwa nini waarabu hawa wameamua kuwashawishi na kufinance suala hili nini target yao na je ni nini impact kwa watanganyika toka kwa maadui wa Waarabu?
 
It doesn't matter. Everyone (every nation) has the right to express their opinion/preferences regarding the matter.
Let THE PEOPLE OF ZANZIBAR decide their fate - whether one side is sponsored by Iran or USA it's none of your business.

Mkuu huko sahihi. WaZanzibar wako serious na mambo yao ukilinganisha na waTanganyika.
I am pretty sure tukitengana nao watapiga hatua za haraka za maendeleo ukilinganisha na sisi waTanganyika ambao tumekuwa mavuvuzela kama Nape.
 
Iran inajaribu kujipenyeza Zanzibar kwa kutumia jina la Washirazi wa Zanzibar, ambao asili yao ni kutokea
Iran, Zanzibar kujitenga na Tanganyika ni kitu kisichowezekana. Bali kwa wakati tuendao nao sasa inahitajika
sisi wananchi wenyewe tuamue ni aina gani ya muungano tunaoutaka, ilo ni jambo la kujadiliwa na linawezekana.
Iran ni nchi moja hatari sana duniani kwa kuleta mifarakano ya hali ya juu, katika jamii za nchi nyingine kwa
kisingizio cha uislam. Hapo Watanzania tuwe makini sana kabla hawajatia mkono wa uharibifu, katika kisiwa cha
Zanzibar. Kwani Zanzibar kitakuwa kisiwa kisichokalika tena, bali kitakuwa ni kisiwa cha harufu ya baruti, na
kuondoa harufu ya karafuu.
 
kikwete ametoa macho tu, wakati iran wanachokoza kwa makusudi. anaweza kulipeleka hili hata kwenye nec ya ccm kabla ya kuchukua maamuzi yake binafsi....
 
Zanzibar udini utaiponza sana, ngoja waje wa irani tushuhudie zaidi, mengi yaani upemba na unguja, uzanzibar na uzanzibara! Wacha dhambi ya ubaguzi iwatafune!!
 
Uko sahihi. Hawa jama siku zote wanataka kueneza islamic influence ndiyo maana uamsho wanatumia masheikh. Hawa jamaa haijui Tanzania kwa masuala ya underground movements. Nchi hii ilishang'oa maharamia wa kila aina karibu kona zote za Afrika kusini mwa jangwa la sahara. Kama ni kweli itabidi tuwasapoti US na Israel lakini tuanze kuwaondoa hawa wa ndani kwa namna yoyote iwezekanavyo ilimradi Tanzania inadumu.

Madai ya Tanazania kuondoa maharamia Afrika ni madai ya kizamani; Tanzania ya leo ni chakari wala haiwezi chochote kwa sasa.
 
ningekuona wa mana sana kama ungeanza kufanyia kazi yaliyo hadharani kama ya kameruni kuliko ya kuskia ambayo unahisi tu
 
Zanzibar udini utaiponza sana, ngoja waje wa irani tushuhudie zaidi, mengi yaani upemba na unguja, uzanzibar na uzanzibara! Wacha dhambi ya ubaguzi iwatafune!!
 
Report: EGYPTIANS TWART IRANIAN PLOT TO KILL SAUD ENVOYBy JPOST.COM STAFF
LAST UPDATED: 05/01/2012 18:49
[h=2][/h] Egyptian security forces thwarted an Iranian plot to assassinate Saudi Arabia's ambassador to Cairo several months ago, AFP reported on Tuesday quoting a Saudi official.

According to the report, the legal adviser of the kingdom's embassy, Sami Jamal, told Al-Hayat that Egypt had "arrested three Iranians planning to assassinate the ambassador, Ahmed Qattan."

Jamal added that "Egyptian authorities informed concerned parties at the Saudi foreign ministry of the details of the plot, but the Saudi side opted to keep silent on the matter."


Zipo tuhuma nyingi zinasema Iran ndio wanaosapoti kundi la wana uamsho wa zanzibar kujitenga na Tanzania bara.....kipindi cha nyuma pia minongóno ilishawai tokea kuwa Iran inashirikiana na Tanzania kupitisha uranium toka Congo through Dar port kwenda kutengeneza nuclear Kule iran (wikileaks)....Hivi ukweli ni upi? kama kweli, Tanzania tunampango gani, kuanza kushirikiana na maadui wa Iran haraka iwezekanavyo kama reprisal au tutawaacha hawa wairan watuvuruge na muungano wetu? mwenye news please!
 
siku ahmedinajad akidunguliwa na israel au marekani, nitaandaa sherehe nyumbani kwangu niiwaalike majirani na watoto wa mitaani.....and that day is coming...too close that is!
unawaunga mkono magaidi wa dunia hii tunayoishi hao ndio mauwaji wakubwa wa maskini katika dunia hii hivyo vita vyote vya kuanzia iraq, afghan,libya na kila kona ya dunia ni wajuzi na wamarekani ndio wanaocreate hiyo propaganda war baadae wanaenda kuuwa binadamu wenzetu kwa faida yao na taifa lao.....
hebu jaribu kuzinduka mtu wangu kama bado uko na usingizi:Cry:
 
hata Chadema kutaka Serekali ya Majimbo.inawezekana kuna Mkono wa VATICAN. na kufadhiliwa na Ubalozi vatican nchini
 
Rostam Aziz ni mtu wa wapi??

Mbona ilishawahi kuletwa humu jamvini role ya Rostam kweli network ya majasusi na matumizi ya zanzibar (hasa familia ile bora) kwenye illegal deeds??
 
siku ahmedinajad akidunguliwa na israel au marekani, nitaandaa sherehe nyumbani kwangu niiwaalike majirani na watoto wa mitaani.....and that day is coming...too close that is!

Sababu gan zinakufanya useme hvyo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom