NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,931
- 918
hiyo source sio biased,angalia episode zote,hakuna upendeleo wowote hapo,labda uamue kukataa tuSasa hii footage imetengenezwa na wamagharibi wewe unategemea nini halafu mipango mikakati (strategy) ya Urusi na Marekani ni tofauti kabisa. Wamarekani wao ni offensive na wapo kibiashara (sio kama nchi bali watu binasi wanao tengeneza silaha) wakati warusi wao ni defensive. kwahiyo utakuta kwenye jeshi lao (warusi) hawana madege mengi kama wamarekani lakini wana ma-islander ya aina nyingi na wameendela sana katika tesla technology ambapo wanaweza kuharibu mawasiliano ya ndege, guided missiles na hata military satellites kwakutumia elecromagnetic waves.
generaly warusi wapo nyuma kiteknolojia ukilinganisha na usa,
hivyo vyote ulivotaja hapo walianza kufanya usa,then wakaiga hao warusi ,so warusi bado wapo nyuma ya usa,
kiteknologia warusi wapo nyuma ya