Iran shoots down US drone

Kuna taarifa kwamba baadhi ya neuclear sites za Iran zilishambuliwa, that was a "covert action".
 
US confirms downed drone spied on Iran

US officials have confirmed that the reconnaissance drone which was downed by Iran's Army in the eastern part of the country was on a CIA recon mission.

According to Press TV, on December 4, the Iranian Army's electronic warfare unit downed a RQ-170 Sentinel stealth aircraft after it crossed into Iran's airspace over the border with neighboring Afghanistan.

CNN reported on Tuesday that two US officials, speaking on condition of anonymity, confirmed that the drone has been part of a CIA reconnaissance mission, involving the United State's intelligence community stationed in Afghanistan.

They said the reconnaissance capability of the RQ-170 Sentinel drone enabled it to gather information from inside Iran by flying along Afghanistan's border with the Islamic Republic.

The RQ-170 is an unmanned stealth aircraft designed and developed by the Lockheed Martin Company.

The US military and the CIA use drones to launch missile strikes in Afghanistan and in Pakistan's northwestern tribal region.
 
Marekani
wamekiri
kuwa
ndege yao
isiyo

na rubani iliyoangushwa katika mpaka wa mashariki mwa Iran baada ya kulengwa na Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilikuwa inamilikiwa na Shirika la Kijasusi la Marekani CIA.


Televisheni ya CNN imewanukulu wakuu wa CIA wakikiri kuwa ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyoangushwa katika anga ya Iran ilikuwa ni ya kijasusi.

CNN imeongeza kuwa wakuu wa Marekani wamesema ndege hiyo ilikuwa imepewa jukumu la kufanya ujasusi Iran. Maafisa wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumapili walitangaza kuwa kitengo cha ulinzi wa anga na vita vya kielektroniki katika Jeshi la Iran lilifanikiwa kudhibiti hali ya anga na upashaji taarifa na kuweza kuitungua ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Marekani iliyojaribu kuvuka maeneo ya mashariki ya mpaka wa Iran. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kitengo cha vita vya elektroniki na ulinzi wa anga kilifanikiwa kuinasa na kuitia mkononi ndege hiyo aina ya RQ 170 baada ya kuisababishia uharibifu mdogo tu na kuitoa nje ya udhibiti wa wavamizi.

Kuhusu suala hili, Shirika la Associated Press limeandikwa kuwa maafisa wa jeshi la Marekani wanasema ndege iliyoangushwa ndani ya ardhi ya Iran ilikuwa ya kisasa kabisa isiyoweza kuonekana kwenye rada. Wamesema ndege za kijasusi za Marekani kama ili iliyotunguliwa zimekuwa zikifanya ujasusi Iran kutoka kituo cha kijeshi cha Marekani nchini Afghanistan.

Aidha wamesema ndege kama hiyo isiyoonekana kwenye rada ndiyo iliyotumiwa kutambua eneo alimokuwa akiishi kiongozi wa Al Qaeda Osama bin Laden.

Duru za jeshi la Marekani zinadokeza kuwa lengo la kuweko kwao kwa muda mrefu Afghanistan ni kufanya ujasusi na hata kutekeleza oparesheni ndani ya Iran. Ni kwa lengo hilo ndio kituo cha kijeshi cha Marekani kikajengwa katika eneo la Shindand nchini Afghanistan.

Huku hayo yakiarifiwa, gazeti la Washington Post limeelezea teknolojia ya kisasa iliyotumiwa katika ujenzi wa ndege ya kijasusi iliyoangushwa na Iran aina ya RQ-170. Imedokezwa kuwa ndege hiyo isiyo na rubani imetengenezwa kwa teknolojia iliotumiwa kujenga ndege kubwa za kudondosha mabomu aina ya
B-2 isiyoonekana kwenye rada na vile vile teknolojia ya ndege aina ya F-35 ambazo ni kati ya ndege ghali zaidi na zenye teknolojia ya kisasa zaidi katika jeshi la Marekani.

Philip Giraldi afisa wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA amekiri kuhusu uwezo wa vikosi vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuangushwa ndege ya kijasusi ya Marekani nchini Iran ni somo kwa Washington kuwa haipaswi kupuuza uwezo wa Iran. Giraldi anasema kuangushwa ndege ya kijasusi
ya Marekani nchini Iran ni jambo muhimu sana .

Ameongeza kuwa harakati za ndege zisizo na rubani za Marekani ndani ya anga ya Iran ni hatua ya kichokozi. Afisa huyu wa zamani wa CIA anasema ujumbe wa kuangushwa ndege hiyo kwa jeshi la Marekani ni kuwa linapaswa kuchukua tahadhari na lifahamu kuwa uwezo wa kijeshi wa Iran wa kuilinda nchi hii ni mkubwa zaidi ya wanavyodhania watawala wa Marekani.

Source:radio iran swahili.
 
This is so awesome. I can just smell WAR ahead. :poa
Pakistan+Iran+Russia+China+North Korea+Venezuela+Algeria+Tunisia = War against America:poa

Russia na CHina wana maslahi yao pale Iran, hawako tayari kuona nchi ile inavamiwa kijesshi, ndo sabau hata kwenye vikwazo huwa hawaungi mkono.
 
Wamerakani wauaji wakubwa,amnesty international wamezuia meli 3 za mabomu zilizokua zinaenda misri kuua raia
 
walikuwa wanatest uwezo wa iran wakitoka hapo wanaunda kitu bora zaidi
 
Russia na CHina wana maslahi yao pale Iran, hawako tayari kuona nchi ile inavamiwa kijesshi, ndo sabau hata kwenye vikwazo huwa hawaungi mkono.


Ni wanafiki tu hawana lolote hawa. Bora hata uchina
 
This is so awesome. I can just smell WAR ahead. :poa Pakistan+Iran+Russia+China+North Korea+Venezuela+Algeria+Tunisia = War against America:poa
si rahisi hivyo-kama ni vita ussr wangeshalipigana na usa kipindi cha coldwar,mana walikuwa wanakabana sana,na sehem nyingi ussr alijitoa had mchina akamwita toothless dragon kwa kuona ussr anamgwaya sana usa, vita ya hawa watu bado ni kitendawili maana hakuna mwenye kujua 100% inventory ya mwenzie ina nini,na usa as kila siku wapo vitani inawakeep kwenye postion nzur kuliko wengine
 
'Kuangushwa ndege ya Marekani Iran ni somo kwa Washington'
Philip Giraldi afisa wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA amekiri kuhusu uwezo wa vikosi vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuangushwa ndege ya kijasusi ya Marekani nchini Iran ni somo kwa Washington kuwa haipaswi kupuuza uwezo wa Iran.

Giraldi anasema kuangushwa ndege ya kijasusi ya Marekani nchini Iran ni jambo muhimu sana . Ameongeza kuwa harakati za ndege zisizo na rubani za Marekani ndani ya anga ya Iran ni hatua ya kichokozi.


Afisa huyu wa zamani wa CIA anasema ujumbe wa kuangushwa ndege hiyo kwa jeshi la Marekani ni kuwa linapaswa kuchukua tahadhari na lifahamu kuwa uwezo wa kijeshi wa Iran wa kuilinda nchi hii ni mkubwa zaidi ya wanavyodhania watawala wa Marekani.
 
Marekani yakiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran
Watawala wa Marekani wamekiri kuwa ndege yao isiyo na rubani iliyoangushwa katika mpaka wa mashariki mwa Iran baada ya kulengwa na Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilikuwa inamilikiwa na Shirika la Kijasusi la Marekani CIA.

Televisheni ya CNN imewanukulu wakuu wa CIA wakikiri kuwa ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyoangushwa katika anga ya Iran ilikuwa ni ya kijasusi.
CNN imeongeza kuwa wakuu wa Marekani wamesema ndege hiyo ilikuwa imepewa jukumu la kufanya ujasusi Iran. Maafisa wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumapili walitangaza kuwa kitengo cha ulinzi wa anga na vita vya kielektroniki katika Jeshi la Iran lilifanikiwa kudhibiti hali ya anga na upashaji taarifa na kuweza kuitungua ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Marekani iliyojaribu kuvuka maeneo ya mashariki ya mpaka wa Iran. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kitengo cha vita vya elektroniki na ulinzi wa anga kilifanikiwa kuinasa na kuitia mkononi ndege hiyo aina ya RQ 170 baada ya kuisababishia uharibifu mdogo tu na kuitoa nje ya udhibiti wa wavamizi.

Kuhusu suala hili, Shirika la Associated Press limeandika kuwa maafisa wa jeshi la Marekani wanasema ndege iliyoangushwa ndani ya ardhi ya Iran ilikuwa ya kisasa kabisa isiyoweza kuonekana kwenye rada. Wamesema ndege za kijasusi za Marekani kama ile iliyotunguliwa zimekuwa zikifanya ujasusi Iran kutoka kituo cha kijeshi cha Marekani nchini Afghanistan. Aidha wamesema ndege kama hiyo isiyoonekana kwenye rada ndiyo iliyotumiwa kutambua eneo alimokuwa akiishi kiongozi wa Al Qaeda Osama bin Laden.

Duru za jeshi la Marekani zinadokeza kuwa lengo la kuweko kwao kwa muda mrefu Afghanistan ni kufanya ujasusi na hata kutekeleza oparesheni ndani ya Iran. Ni kwa lengo hilo ndio kituo cha kijeshi cha Marekani kikajengwa katika eneo la Shindand nchini Afghanistan.

SOURCE: Marekani yakiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran
 
Ofcourse, tunasubiri kinachofuatia maana wamesema watafanya kitu...Tunasubiri hiyo response...

What the world (including us Tanzania) supposed to support? violent invaders of others (wrong) or honourable defender of his/her sovereignty or honor?

Does the later need or have to respond in anyway shape or form for you (us) to condemn the wrong?

Natoa hoja
 
Back
Top Bottom