IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

Tumia akili kufikiri na si tumbo!

Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.

Kwani umeambiwa hatusubiri kikao cha bunge,aibu hii kwa wanafiki wote..wanaochafua kampuni za watu,shame on them
 
Tumia akili kufikiri na si tumbo!

Subiri Kikao cha Bunge utapata majibu kupitia taarifa ya CAG badala ya kubwabwaja na hawa waandishi makangaja wa baadhi ya magazeti ambao kwa mtumbo kwanza kuliko kazi husika ya kutoa taarifa iliyochambuliwa/utafiti.

USISUMBUKE NA HAWA WAPO JF kwa kazi maalumu, hawashuguluki na uzi zaidi ya huu wao ni kafulila mwanzo mwisho ,utafikiri ni kafulila pekee aliyeongelea ilo swala wala usipoteze muda wako
 
sasa anayetumika ni nani zaidi ya kafulila kwenye hili suala la iptl na escrow?muulize vizuri kafulila hizo hela alizopewa na mafisadi ni za kazi gani?kama siyo za kazi ya kuichafua wizara ya nishati na madili pamoja na watumishi wake?

Jamani mbavu zangu! Rejea maandishi nyekundu!

Yaani mnatoka povu mpaka mnajianika kiasi hicho!
Tafuteni mzani mzuri,kati yenu na Kafulila anayepiga Kelele kwa masilahi ya Umma na ninyi wateteszi wa Mafisadi!

hata hivyo naimani umeelewa tu nini namaanisha juu ya hilo,kafulila mwenzio chakua 90milion kutoka kwa hao mafisadi,wewe umechukua ngapi ndugu?
 
hata hivyo naimani umeelewa tu nini namaanisha juu ya
hilo,kafulila mwenzio chakua 90milion kutoka kwa hao
mafisadi,wewe umechukua ngapi ndugu?
 
USISUMBUKE NA HAWA WAPO JF kwa kazi maalumu, hawashuguluki na uzi zaidi ya huu wao ni kafulila mwanzo mwisho ,utafikiri ni kafulila pekee aliyeongelea ilo swala wala usipoteze muda wako

wanaolalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.
 
Jamani mbavu zangu! Rejea maandishi nyekundu!

Yaani mnatoka povu mpaka mnajianika kiasi hicho!
Tafuteni mzani mzuri,kati yenu na Kafulila anayepiga Kelele kwa masilahi ya Umma na ninyi wateteszi wa Mafisadi!

wanaolalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.
 
hata hivyo naimani umeelewa tu nini namaanisha juu ya hilo,kafulila mwenzio chakua 90milion kutoka kwa hao mafisadi,wewe umechukua ngapi ndugu?

Mimi nampa Hongera yake kama kweli amepata mgawo ,maana amechukua kilichomstahili/Kodi ya wapiga kura wake !
Na ndiyo maana anaendelea na kuendeleza mapambano.Sasa sijui wewe mwajiri wa IPTL ,PAP au Wizara ya Madili maana ni wahusika wakuuu wa madili.
 
Kwani hao IPTL/PAP machizi? Pesa zote walizovuna Tanesco, kesi ya nini tena?

Nyie mnaolalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa ndio mnaofanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hili au labda
mueleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma ndio mueleweke kwa jamii.
 
Mimi nampa Hongera yake kama kweli amepata mgawo ,maana amechukua kilichomstahili/Kodi ya wapiga kura wake !
Na ndiyo maana anaendelea na kuendeleza mapambano.Sasa sijui wewe mwajiri wa IPTL ,PAP au Wizara ya Madili maana ni wahusika wakuuu wa madili.

Haya bhana,lakini kumbuka mtu akikamatwa na kitu cha wizi na yeye ni mwizi,sasa kama kafulila amepewa hizo fedha za wizi ama zakifisadi basi na yeye ni mwizi ama fisadi kwa maana na yeye ameshiriki vitendo hivyo vihovu.
 
Kwa hiyo hamkuona mlango wa ofisi za Takukuru au !
Kafulila yeye kawatangazia kwa Umma na ameendelea kupiga kelele za mwiziiiiiiiiiiii yaani (PAP , IPTL na wizara ya Madili kuwa wamekwapua pesa za Umma!
lakini wewe na genge lako mko mbele kuwa ameumbuka na oh amechukua pesa !
 
Imemsaidia nini sasa pamoja kusema kwake huko?kafulila anajua mchezo msima pamoja na matokeo yake, Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee
iliyookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya
kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia
debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo
inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja
wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano
kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90
kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu
wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania
 
Kumbe ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006, na VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa, Na kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya malaysia?sasa nadhani kitakuwa kimeeleweka kwa ufafanuzi huu,kazi kwenu sasa msioelewa.

soma tena, hivi unaelewa maana ya unchokiandika?
 
Mwaka 2006 serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kupitia wizara ya nishati na madini, shirika la IPTL na Benki kuu ya Tanzania (wakala) kutokana na mkataba wa kuzalisha na kuuza umeme kutoka IPTL kwenda TANESCO kulianzishwa akaunti ya ESCROW.
Matakwa ya makubaliano ya kuanzishwa na kutekelezwa kwa mradi wa kujenga, kuendesha na kuzalisha umeme wa kuuza kati ya kampuni binafsi ya IPTL na TANESCO ni kwa serikali kufungua letter of credit au kufungua akaunti ya ESCROW.
Akaunti hiyo siyo fedha za serikali bali ni fedha ni fedha ambazo ziliwekwa kutokana matakwa ya mkataba wa kuuza umeme kwa TANESCO kutoka kampuni binafsi. Katika mkataba wa kufungua akaunti ya ESCROW kuna kifungu kinasomeka, "" required amounts means the amount in TSHs that the government of Tanzania shall deposit from time to time in the ESCROW account which equals not less than two months estimated tariff payments under the PPA, provided that such amount shall be adjusted annually by IPTL and TANESCO pursuant in the PPA in the article 11 hereof, and government of Tanzania will be entitled to review independently the calculation of the amount pursuant to this agreement"
 
Back
Top Bottom