Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
Miezi michache iliyopita IPP walianza kutuonyesha wakazi wa Arusha channel mpya (huku Arusha) ya Capital TV ambayo ilikuwa na vipindi vizuri sana: filamu na matangeazo live ya michezo mbalimbali.
Baada ya wiki chache IPP wakatubadilishia na kutuweke East Africa TV ambayo ni miziki tu tu kutwa nzima tena miziki mingine ya hovyo ambayo huwezi kuangalia na mtu unayemuheshimu! Kwa kweli EA TV (channel 5) imejaa vipindi ambavyo havielimishi kwa namna yoyote na ni maalumu kwa tabaka fulani tu la watu.
Ombi langu ni kuwa IPP wafikirie kuturudihia Capital TV ambayo inaburudisha na kufundisha kuliko channel 5