Panya Mabaka
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 619
- 557
upumbavu wetu na ubwege wetu na woga ndio vimetufikisha hapa tulipo!
Ipo siku...
Acha hadithi kijana,ingia barabarani dunia itakukumbuka.!Endelea kubeza tu na kujifanya hujui kilichotokea kule Arabuni. Kijana aliyejimaliza kwa asira alileteleza majanga makubwa kwa watawala wa karibu eneo lote Arabuni na ndiyo hata ilikuwa ni chanzo cha Gadafi kuuwawa na kuanzia hapo yametokea mapinduzi mengi tu ya kiraia hata huku Afrika.
Hata juzi pale Zimbabwe jeshi lilikuwa linajua kabisa kama Mugabe hapendwi na wananchi sasa lilipoona maslahi yake yameguswa lilichofanya ilikuwa ni kuwaambia wananchi kuwa ingieni barabarani hakuna risasi tena.
Utawala unaweza ukawa wa kimabavu kiasi ili kujicheleweshea muda wa kuendelea kusalia madarakani lakini mabavu yanapozidi kiasi watawaliwa huamua liwalo na liwe na wakiweza tu kusalia mabarabarani kwa siku kadhaa hapo ndio wale wanafiki/wazungu huwa wanakuwa wamepata kisingizio cha kuwabana watawala na urafiki huwekwa pempeni.
Yule kijana wa Tunisia aliacha impact kubwa sana kati ya watawala na watawaliwa wa Dunia hii.
Kwanza hata yule aliyemshauri ndugu yutu kuzuia kabisa mikutano ya kihanaharakati nazani alikuwa ameshaanza kuona hari furani hivi ikiendelea kuhimarika kwa kasi sana, si mijini si vijijini na ninafikiri asingeliona hilo lolote lingeweza kutokea, nafikiri mikutano ile siku za mbele ingetumika kama njia ya mobilization, hata kama ni halali kisheria lakini kwa mustakabali wa watawala si jambo la afya kwao.
Kama ccm wanajitambua wangefuata mfano wa ANC
Umejiondoa kabisa kwenye kadhia hii as if kwamba you see nothing ,each and everything is right .I got your back boyTATIZO NI POLICE AU PRESIDAA MBONA MNAPOTEA DIRECTION WANDUGU
not right ,Umejiondoa kabisa kwenye kadhia hii as if kwamba you see nothing ,each and everything is right .I got your back boy
shing'weng'weHata PROPHET Bushiri alionya kuwa anayeingia ni dracula A.K.A SHING'WENG'WE MZIMU/ MUMIANI LA KISUKUMA