sokoMchizi
Member
- Oct 15, 2022
- 49
- 202
Habari Wanajamvi, Ninaomba Kuelimishwa ukiachilia mbali gharama ipi ni njia salama zaidi kiuhalali ,na kiurahisi kununua kiwanja kwa mtu binafsi au kampuni , ili kuepuka utapeli wa hati mbili mbili au kiwanja kimoja kupewa watu wawili.