Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Ninayo oppo f9 pro
Ram 6
Storage 128gb
Ina NETWORK LOCK inasoma TTCL tu
Mpya kwenye box Nataka 250000 View attachment 1714360View attachment 1714359
IMG_20210222_100612.jpg
 
Hawa jamaa wa infiniix, tecno, itel, kgtel, X-Tigi & co. Sijui tuwaambie vipi watuelewe
Natumia matoleo ya Phantom za Tecno 6+, 8 na 9 sijawahi kujuta zinatunza chaji Camera swafi hadi giza totoro inatoa picha, na Laini zimejaa Mpesa, Halopesa na Airtel money, simu haimalizi chaji hovyohovyo network hadi maporini wa Sumsang na Iphone huwa wananionea gere, na sitoacha Tecno nilihama Samsung kwasababu ya chaji na network maporini haziko poa
 
Tuanze tu kuichambua simu ndogo kabisa ndani ya series ya 7 ( redmi 7a) inalingana performance na tekno ipi au itel ata hio chip ya mtk iliotumika ndani ya series ya 9 ( kina redmi 9a , 9c ) bado ni bora kwa ufanisi wa matumizi kuliko tekno yoyote niliowahi kuiona hasa kwa watu wasio super user
Mimi natumia Tecno series za Phantom Tatizo lenu mnanunua Tecno za bei rahisi
 
kuna watu wana hizo simu hawana tatizo nazo, my friends... soma hiyo unipe jibu
Infinix Smart 4 is a very good phone in its class; Entry-level. I don't understand why are people in here complaining! But I noticed that it's because most of them are dealing with the phone as if it was a mid-range phone or higher! Guys, it's an entry-level phone for God's sake. It has 1GB of ram and a very decent CPU. And above that, it features Android 9 Go Edition, which is the most strict Android version in RAM management ever. Meaning, you can't multi-task or even have more than 2 or 3 apps in the background. This is not the phone's fault, it's the OS's.

This phone is designed for simple work: Taking calls, listening to Music and local broadcast, reading the news, setting up alarms, a bit of social media, a bit of YouTube and some lite casual gaming (like bursting balls and card games). That's it. I previously had a powerful phone. I gave it to my son and purchased this because I realized that I'm too old to play heavy games or take advantage of a powerful phone. It's like a waste. I have been using this phone for a month and it's doing very well with no issues at all. The display is very good. The signal is very good. Speakers? good? Wi-fi reception? Good. GPS Navigation? Good. What more do I want from it?!
Nimekupata Sana Hapa wengi wanaongelea simu za bei rahisi Tecno nilizonazo mm RAM GB 6 sasa utapata shida gani unapiga mzigo chaji haipotei hovyo, Tatizo vijana wamekalili vibaya
 
Mkuu chifu mkwawa, linganisha oppo reno 3 na note 8T natka nikae humo kuna mtu ananiuzia used niichukue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom