Ipi ni Tablet nzuri kwa matumizi ya shule ?

sguru

Member
Sep 3, 2012
93
5
Wadau natafuta Tablet nzuri kwa ajili ya mwanafunzi wa secondary, Naweza pata wapi na kwa bei nzuri ?
 
usimnunulie mtoto wa sekondari tablet ya android/ios unless ana computer nyumbani. huyo sasa hivi anatakiwa ajifunze os za computer kama windows/osx/linux nk
 
Back
Top Bottom