Ipi inakufaa?

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Condoms,zipo za aina nyingi sana.
Zipo za sh.100,200,500,1000,2500 etc.

Wengi tuna zitambua kwa bei zake,lakini ni kweli kwamba zote zina kusudio
moja (kukukinga na STDS na Mimba?)kwanini zinauzwa bei tofauti?

Wewe,kibongo bongo una pendelea condom zipi?
Mwenzi wako ana zifurahia,hazimdhuru?

Mimi napendelea Rough Rider,ni ghali,lakini ni salama,hazi pasuki kwa urahisi
kama Dume condoms zilizo fanya nikapata mtoto.

Unapendelea zipi?
Na kama hupendi condoms,option zako ni zipi?Je ni salama?
 
Mimi nimeshavaa mabomu, ajali kazini wala sihitaji kuwa mlinzi wa Dunia, ni nyama kwa nyama.
 
Condoms,zipo za aina nyingi sana.
Zipo za sh.100,200,500,1000,2500 etc.

hazi pasuki kwa urahisi
kama Dume condoms zilizo fanya nikapata mtoto.
mkuu zishukuru condom Dume maana zimefanya unaitwa baba!!!
 
Besides kwanini kunakuwa na Longolongo inapofikia wakati wa kuuziwa kwenye maduka ya dawa.Yaani anayeuza ataanza kukuonea aibu or ataweza hadi kukufanya unayenunua uone aibu hata kunegotiat bei au kuuliza aina nyingine.
of course sioni sababu iwe kitu cha ajabu or aibu na mbaya zaidi anayeuza akiwa mwanamke!
Vilevile na hizi sehemu za gesti utakuta wahudum wengi wao customer care zero kabisa.kwani wanaringa kupitiliza sijui wanamatatizo gani?na sometime unaweza wanaweza kukukodorea jicho,sijua kwanini huwa wanafanya hivyo.
 
Sijui me mshamba? Niko dunia ya ngapi cjui..

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
aiseee kondom za nini muzeeeee, tafuta moja tu uwe unakula mechi ila kama humwamini kazi ni kwakkkkooooooooo basiiiii hata utumie za aina zote kondom ni kondom:rockon:
 
Who cares? Why? After all me and you hatutakuwepo in 50yrs to come...enjoy!!
 
Poleni nyie kwa kuhangaika mwenzenu nimemeza za vidonge maana kuvaa nako ni ishu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom