Ipi gari bora kati ya Vanguard na Harrier?

Wakuu natumaini ni wazima naomba kufahamishwa ipi gari nzuri kati ya vanguard na harrier in terms of comftability ,matumizi ya mafuta , usalama zaidi wa gari kwa safari ndefu

Tukicompare base models za Harrier na Vanguard ambazo zote zina engine za 2.4L.

Zote zipo Comfortable

Vanguard ina Consumption nzuri ya mafuta sababu ya CVT transmission.

Hicho kipengele cha usalama kwa safari ndefu sijakielewa.

Kwa kuongezea tu

CVT haitaki agressiveness pamoja na oil zisizo zake. Kwa maana ikishaanza kukusumbua anza kufikia gearbox mpya. Ila ni gearbox nzuri kama utaitunza
 
Vanguard na yule Pacha wake RAV4 zina issue ya steering rack, whatever it is zinakufa mara kwa mara.
Mkuu hili tatizo lipoje, je linarekebishika? Kuna jamaa yangu anataka kuagiza hiyo Gari aisee
 
Tukicompare base models za Harrier na Vanguard ambazo zote zina engine za 2.4L.

Zote zipo Comfortable

Vanguard ina Consumption nzuri ya mafuta sababu ya CVT transmission.

Hicho kipengele cha usalama kwa safari ndefu sijakielewa.

Kwa kuongezea tu

CVT haitaki agressiveness pamoja na oil zisizo zake. Kwa maana ikishaanza kukusumbua anza kufikia gearbox mpya. Ila ni gearbox nzuri kama utaitunza
Mkuu hilo tatizo la Steering wanalosema linatibika? Kuna jamaa anataka kuagiza hiyo gari na aliniomba ushauri
 
Issue ni kuwa steering ni ya umeme, ikifa ni kununua mpya tu. Na labda si mfumo unaovumilia shida kama hydraulic. Hata hivyo magari kadhaa ya kisasa wanatumia electric steering pia eg subaru forester n.k Lakini sidhani kama ni ubovu wa kutisha kwenye vanguard, watumiaji wengine watasema. Bei ya steering yake mpya ni kuanzia 450K mpaka 800K kutegemeana unanunua ipi na wapi.
Engine na gearbox wamepatia
 
Ok, asante sana kwa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom