Iphone 3gs for sale.

Yegomasika

JF-Expert Member
Mar 21, 2009
13,164
61,249
Iphone 3GS 32G inauzwa, imetumika kwa miezi sita. Sababu ya kuiuza ni kwa vile nina-upgrade to IPHONE 4G~kwa anayeitaka naomba ani-PM, au aniandikie at Yegomasika@gmail.com
itapatikana mwishoni mwa July. Bei makubaliano.
 
3gs na 4 tofauti yake si kubwa sana pia, kuna ????? why huweki bei, etc?
 
3gs na 4 tofauti yake si kubwa sana pia, kuna ????? why huweki bei, etc?
Kuna tofauti mzee, on 4G you can,
1. See family and friends while you talk to them
2. Record and edit stunning HD video
3. You can use multiple apps at the same time
Kuhusu bei well, Tshs 400K or best offer!.
 
iphone 3gs 16gb inauzwa
bei 800,000
mpya ipo kwenye box lake na vitu vyake vyote
haijawa unlocked
ukitaka iwe unlocked bei itakuwa 870,000
kutoka UK

contact 0717445288
 
Kuna tofauti mzee, on 4G you can,
1. See family and friends while you talk to them
2. Record and edit stunning HD video
3. You can use multiple apps at the same time
Kuhusu bei well, Tshs 400K or best offer!.

network za bongo zinasupport 4Gs na hizo APPS kwenye iphone????
 
Hapa tunaongelea 3GS, well kwa Bongo nayo ni mgogoro tu!.

this is what i wanted to hear.....unanunua 3g kwa text na voice calls tu........then una-upgrade to 4g for txt and calls again......typical tznian
nb:not necessarily YOU.
 
this is what i wanted to hear.....unanunua 3g kwa text na voice calls tu........then una-upgrade to 4g for txt and calls again......typical tznian
nb:not necessarily YOU.
:A S-confused1:
 
Back
Top Bottom