Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,678 4,350 Oct 11, 2013 #2 hahahaha Urafiki wa mashaka huoo, muda wowote pundamilia anaweza geuzwa MENU
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Oct 11, 2013 #3 ngoja nimalize kunywa maji na nitoke baruti maana huyu mjomba akianza kumaliza yeye itakuwa bonge la noma. Nalog off
ngoja nimalize kunywa maji na nitoke baruti maana huyu mjomba akianza kumaliza yeye itakuwa bonge la noma. Nalog off
C Ctr JF-Expert Member Mar 30, 2013 505 224 Oct 11, 2013 #4 Hapo huyu jamaa akimaliza kunywa maji sijui atasemaje? Sijui nikimbie?
Heaven on Earth JF-Expert Member Mar 21, 2013 37,226 26,639 Oct 11, 2013 #6 hapo lazima Pundamilia awe makin lolote laweza tokea
LEGE JF-Expert Member Oct 14, 2011 5,123 9,168 Oct 12, 2013 #9 hapo kwenye juu ya picha ungebandika maneno hay MAJI NI UHAI
Lovebird JF-Expert Member Sep 27, 2012 5,794 7,761 Oct 12, 2013 #10 1. Asiye na jema kwakwo mara nyingi huwa anakukebehi..anapenda kuwa kuwa karibu kumbe ana lake jambo 2. Chelewa chelewa utakuta mwana si wako....(upatapo nafasi katika jambo (mahusiano/kazi/biashara) tekeleza as opportunities never comes 2. 3. Ukutanapo na jambo la kutisha tulia huwezi jua kwamba mwenzako (simba) naye ana matatizo/woga wa hali ya juuuuuuuuuuuu
1. Asiye na jema kwakwo mara nyingi huwa anakukebehi..anapenda kuwa kuwa karibu kumbe ana lake jambo 2. Chelewa chelewa utakuta mwana si wako....(upatapo nafasi katika jambo (mahusiano/kazi/biashara) tekeleza as opportunities never comes 2. 3. Ukutanapo na jambo la kutisha tulia huwezi jua kwamba mwenzako (simba) naye ana matatizo/woga wa hali ya juuuuuuuuuuuu
Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member May 23, 2010 646 129 Oct 12, 2013 #11 hahaha, maji yanashuka kooni kweli hapo kwa pundamilia? kifuatacho baada ya kiu kuisha, Mungu ndiye ajuaye...hahahah
hahaha, maji yanashuka kooni kweli hapo kwa pundamilia? kifuatacho baada ya kiu kuisha, Mungu ndiye ajuaye...hahahah
KASHOROBANA JF-Expert Member Jul 30, 2011 3,241 963 Oct 12, 2013 #12 HAPA SASA MNAWEZA KUUONA TYPICAL MFANO WA URAFIKI BAINA YA CCM NA WATANZANIA, CCM NDO SIMBA, JAMANi CCM MTUACHE, YATOSHA
HAPA SASA MNAWEZA KUUONA TYPICAL MFANO WA URAFIKI BAINA YA CCM NA WATANZANIA, CCM NDO SIMBA, JAMANi CCM MTUACHE, YATOSHA
Medical Dictionary JF-Expert Member Mar 12, 2012 1,060 309 Oct 12, 2013 #15 simba anamlia radar punda hapo
Nswima John Edward JF-Expert Member Oct 25, 2012 612 312 Oct 12, 2013 #16 Ngoja nijipange, tena itabidi nianzie namba nne kabisa, maana namba moja ainaweza kunichelewesha....