Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Apr 23, 2015 18,783 66,962 Dec 24, 2015 #1 Attachments 2bdbdb.jpg 48.3 KB · Views: 2,249
GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 56,548 108,882 Dec 24, 2015 #3 Mussolin5 said: Click to expand... Hivi Mwanangu Ridhiwani Nimeshamaliza Kumrithisha Kila Kitu au? Manake Hizi Ndege Siku Hizi Kuanguka Ni Kama Kifo Na Binadamu.
Mussolin5 said: Click to expand... Hivi Mwanangu Ridhiwani Nimeshamaliza Kumrithisha Kila Kitu au? Manake Hizi Ndege Siku Hizi Kuanguka Ni Kama Kifo Na Binadamu.
Abuu Said JF-Expert Member Jul 5, 2015 4,010 4,750 Dec 24, 2015 #5 Mwacha kijana apige kazi mi niendelee kuitangaza nchi kimataifa
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,515 6,489 Dec 24, 2015 #6 Jamaa anavyopenda picha, usikute alitamani hata picha yake ya faragha kitandani amwamuru his Silva Rweyemamu aitupie fb, basi yaani.
Jamaa anavyopenda picha, usikute alitamani hata picha yake ya faragha kitandani amwamuru his Silva Rweyemamu aitupie fb, basi yaani.
B Bulesi Platinum Member May 14, 2008 14,210 13,724 Dec 24, 2015 #8 Vasco Dagama katika uhalisia wake!!
SILENT WHISPER JF-Expert Member Jun 26, 2009 2,209 821 Dec 24, 2015 #10 pazia...!!! miaka kumi mlangoni.
Black Sniper JF-Expert Member Dec 10, 2013 28,466 45,761 Dec 24, 2015 #11 Ni hobby kama hobby zingine