Ipe maneno picha hii

acha uzushi!Silinde huyo kwa mbali!ujumbe hupi sasa unataka!nikusaidie!
SILINDE:HUYU LEMA SIANAJIFANYA HATAKI KUSIKIA HABARI ZA LOWASA!SASA PALE ANAMWAMBIA NINI?AJIUZURU AU NAYE ANATAFUTA KULA YAKE!NGOJA NISOGEE,NIWAONE!
 
Lowassa of coz amestand out... yawezekana sababu ya urefu,
mvi na kwamba kwa kweli nina hasira nae.... Lowassa Pia kakaa
pozi ya unyenyekevu as if yale maneno aliongea kwa mara ya kwanza
Bungeni afta three years yalikua genuine na kwamba yalikua hayana
hidden agenda... na pozi hio (tofauti na his personality...) hivyo
naona alikua aware kuna wanahabari wana observe...

Wanao msikiliza wanakua kama wana enjoy kumsikiliza na wanakubaliana
na analo ongea (ingawa iko exaggerated...) aidha sababu hawataki wawe in
Lowassa's bad book or for the benefit of the camera man...
 
Lowassa: Lema chonde usinishambulie sana na chama changu
Lema:Nitaangalia kama nadanganyika kitoto kama hivyo...
Silinde:Kaka Lema eeeeeeeee,unaitwa na Lisu,achana na Mvuagamba huyo!
 
LEMA: Hivi Mh. Lowassa Utajiri ulionao umeupataje???!!
LOWASSA: Unataka Ujue ili ufanyeje??, UKATAMBIKE??!!
 
Lowassa;dogo lema naona unakasi sana na sisi magamba tutakupunguza tu.
Lema;chadema hamtuwezi tumewashika pabaya nyie ccm.
 
Lema: braza Lowasa kwa usalama wako achia ngazi la sivyo nguvu ya umma itakulazimisha LOWASA: DOGO ACHA NOMA NIHURUMIENI JAMANI MWENZENU NAOGOPA
 
LOWASSA: sasa chaliii angu niaje niaje!!!!! si unajua wote wa chuga town we na huyu dogo fanyeni basi mchakato mmwambie slaa atemane na mimi, si unaona na hawa masoro kina Nape na wao wananizingua, usiwire nikiingia magogoni we na huyu dogo mtakula shavu
LEMA: bro usikonde hata slaa si homebway lazima apite monduli kabla ya kwenda karatu we mtu wetu hata ktk sakata la umeya si ulikuwa upande wetu yaaani we usiwaze
SILINDE: MWEEEEE !huu mchongo mwenyekiti anaujua? Angeanza naye yeye hana shida kabiisa
 
Lowasa: "hata mimi nipokea kwa mshangao taraifa ya RA, sikutegemea kama ingekuwa hivi ukizingatia nyakati zenyewe....bla...bla...bla
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom