Mimi usinipe bure niuzie kwa bei utakayoona inafaaacha masihara mkuu, ipad 2 laki mbili?!!, mimi ninayo hiyo natafuta wa kumgaia bure sijampata
Malizia lakin napatikana Chato kijijinacha masihara mkuu, ipad 2 laki mbili?!!, mimi ninayo hiyo natafuta wa kumgaia bure sijampata
AsanteAsante kwa ushauri ila ushauri wako wakipuuzi
Mungu akupe maisha marefu chief.Asante
mkuu,nina laki na 50iPad 2
Used Abroad (UK)
Storage 16GB
WiFi only
Nzuri kwa kusomea,biashara,ofisini,burudani (movies), watoto (cartoons & games) nk
Bei : 220,000
Warranty miezi 6
Call, 0676175260
Kariakoo Agrey &Msimbazi
Free delivery in Dar es Salaam View attachment 1796908View attachment 1796909View attachment 1796910