TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 5,718
- 10,214
Huu ni ugali wa ndizi ulio na maajabu. Ukiula hautabaki jinsi ulivyo.
Mkinga na inyangwa wapi na wapi?Kama ni wewe ni mlaji wa huu ugali, kwa mawazo kama haya basi umeprove exception to the rule (hayo mawazo uliyotoa sio ya critical thinker..., ni ya wapiga ramli)