Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Acha dharau kaka hahahahaaah......
huyu mama uliweka kama Avtar . mwenyewe analalamikia Kutumiwa Jf kama kikaragosiNdio. So long as hamtoi majibu, na kama post zinahusu mada inayo jadiliwa, hakuna ubaya. wakati debate inaendelea tutapokea masuali mbali mbali toka kwa members, na mwisho kabisa suali tatu zitachaguliwa kua suali 13, 14 na 15.
Mnyika na Mwigulu ingependeza sana!mods napendekeza baada ya debate hii iandaliwe debate nyingine kati ya NAPE na MNYIKA hapa jf
Zomba ataanza kukusanya madesa kwa Nape kuanzia leo!
Sasa haya si ndio tunafanya kila siku? Nenda jukwaa kama jamii intelligence, great thinkers, au hata threads zingine humu humu siasa.Ni vyema ila nilikua nashauri kungekua na midahalo ya aina hii kila wakati ili kuweza kujua masuala muhimu ya nchi yetu,lakini sidhani kama kunatakiwa kuwe na watu maalum wa kujibu maswali hayo ila kuwe na upande wa serikali na upande wa pili.Swali linaweza kuulizwa na member yoyote wa JF na upande husika ukatakiwa kujibu au kutafuta jibu kwa muda watakaoweza bila kikomo.Atakaejibu swali sio lazima atoke serikalini,anaweza kuwa yoyote anaeisuport serikali kwenye suala husika,kama jibu halitawaridhizisha waulizaji wataweza kuendelea kudebate.Ukura huo nashauri usiwe na mwisho ili yoyote akitaka ufafanuzi au akauliza swali ambalo lilishaulizwa na likajibiwa aelekezwe ili apate jibu kwenye ukurasa huo.Ni hayo tu!
inapokuja ishu ya Kikwete, Zomba hua namuaminia sana!