KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
WanaJF mambo vp? Jamani umeme unatusumbua sana hadi unapelekea nawaza jambo fulani sijui inawezekana? Hivi hakuna utaalamu unaoweza kutumika ukawa na inveter inayozalisha umeme wa AC220v umeme huo ugawanyike mara 2. Moja utumike kuwasha tv radio nk, mbili urudi kuchaji zile betri zinazoendesha hiyo inveter kwa ufupi iwe kama umeme wa kwenye gari unavyopatikana.Yaani kadiri unavyo washa tv au redio ndivyo betri zinayvo chajiwa.Hebu wanajf tuliangalie hili haliwezekani? Na kama haiwezekani ninini kitakachokuwa kinakwamisha???