BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Mwaka jana nilisafiri kwenda US kuwasalimia rafiki zangu wanaoishi huko, bahati nzuri nikapata rafiki mpya. Kwenye maongezi aliniambia angependa kuwekeza Tanzania. Alipo niomba ushauri nikamwambia inawezekana na nikamshauri tuwekeze kwenye tourism sector which I am conversant in. She agreed and was ready to invest $5million whereby I would be of the partners.
Niliondoka US kurudi nyumbani na kuanza mchakato. Ilipofika mwaka huu mwezi wa kumi alinitaarifu kuwa angekuja mwezi November. Kabla ya kuja Tanzania alitembelea ofisi zetu za ubalozi zilizo US na kuomba ushauri on the same issue, walimshauri kama anataka kuwekeza katika sector ya utalii lazima afike ofisi za TIC, TTB, na Ministry of Tourism. She asked me to organize meetings with those authorities.
DISSAPOINTMENTS:
1. Nilituma e-mails kwenda TIC, TTB na Tourism lakini hakuna hata moja iliyojibiwa mpaka leo hii ambapo ni karibia mwezi sasa.
2. Nilipiga simu kuomba appointments nikaambiwa twende tu haina haja ya kufanya appointments
3. Tulikwenda TIC idara ya trade facilitation but we did not get any useful information because the guy could not explain opportunities we have in tourism investment so it ended up being trade frustration.
4. Nilikwenda TTB Idara ya marketing and it was same story, Boss was trying to promote the southern circuit which does not have infrastructures and also he was not aware of the business volume in terms of figures. I know southern circuit is not doing well in tourism business. So it shouldnt be advisable for a new Investor until infrastructures will be in place.
5. Nikawapigia tourism (TANAPA) for appointment nikaambiwa wakubwa hawatakuwepo ofisini mpaka baada ya wiki tatu so we will not geed detailed information.
Baada ya hizo disappointments tulikaa chini na Investor akaniambia tu Sorry I havent been convinced enough to invest in your country but lets keep intouch akala PIPA akarudi zake.