Investor kanikimbia kisa - ofisi za serikali bure

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
762
Mwaka jana nilisafiri kwenda US kuwasalimia rafiki zangu wanaoishi huko, bahati nzuri nikapata rafiki mpya. Kwenye maongezi aliniambia angependa kuwekeza Tanzania. Alipo niomba ushauri nikamwambia inawezekana na nikamshauri tuwekeze kwenye tourism sector which I am conversant in. She agreed and was ready to invest $5million whereby I would be of the partners.
Niliondoka US kurudi nyumbani na kuanza mchakato. Ilipofika mwaka huu mwezi wa kumi alinitaarifu kuwa angekuja mwezi November. Kabla ya kuja Tanzania alitembelea ofisi zetu za ubalozi zilizo US na kuomba ushauri on the same issue, walimshauri kama anataka kuwekeza katika sector ya utalii lazima afike ofisi za TIC, TTB, na Ministry of Tourism. She asked me to organize meetings with those authorities.
DISSAPOINTMENTS:
1. Nilituma e-mails kwenda TIC, TTB na Tourism lakini hakuna hata moja iliyojibiwa mpaka leo hii ambapo ni karibia mwezi sasa.
2. Nilipiga simu kuomba appointments nikaambiwa twende tu haina haja ya kufanya appointments
3. Tulikwenda TIC idara ya trade facilitation but we did not get any useful information because the guy could not explain opportunities we have in tourism investment so it ended up being trade frustration.
4. Nilikwenda TTB Idara ya marketing and it was same story, Boss was trying to promote the southern circuit which does not have infrastructures and also he was not aware of the business volume in terms of figures. I know southern circuit is not doing well in tourism business. So it shouldn’t be advisable for a new Investor until infrastructures will be in place.
5. Nikawapigia tourism (TANAPA) for appointment nikaambiwa wakubwa hawatakuwepo ofisini mpaka baada ya wiki tatu so we will not geed detailed information.
Baada ya hizo disappointments tulikaa chini na Investor akaniambia tu “Sorry I haven’t been convinced enough to invest in your country but let’s keep intouch” akala PIPA akarudi zake.
 
Mwaka jana nilisafiri kwenda US kuwasalimia rafiki zangu wanaoishi huko, bahati nzuri nikapata rafiki mpya. Kwenye maongezi aliniambia angependa kuwekeza Tanzania. Alipo niomba ushauri nikamwambia inawezekana na nikamshauri tuwekeze kwenye tourism sector which I am conversant in. She agreed and was ready to invest $5million whereby I would be of the partners.
Niliondoka US kurudi nyumbani na kuanza mchakato. Ilipofika mwaka huu mwezi wa kumi alinitaarifu kuwa angekuja mwezi November. Kabla ya kuja Tanzania alitembelea ofisi zetu za ubalozi zilizo US na kuomba ushauri on the same issue, walimshauri kama anataka kuwekeza katika sector ya utalii lazima afike ofisi za TIC, TTB, na Ministry of Tourism. She asked me to organize meetings with those authorities.
DISSAPOINTMENTS:
1. Nilituma e-mails kwenda TIC, TTB na Tourism lakini hakuna hata moja iliyojibiwa mpaka leo hii ambapo ni karibia mwezi sasa.
2. Nilipiga simu kuomba appointments nikaambiwa twende tu haina haja ya kufanya appointments
3. Tulikwenda TIC idara ya trade facilitation but we did not get any useful information because the guy could not explain opportunities we have in tourism investment so it ended up being trade frustration.
4. Nilikwenda TTB Idara ya marketing and it was same story, Boss was trying to promote the southern circuit which does not have infrastructures and also he was not aware of the business volume in terms of figures. I know southern circuit is not doing well in tourism business. So it shouldn't be advisable for a new Investor until infrastructures will be in place.
5. Nikawapigia tourism (TANAPA) for appointment nikaambiwa wakubwa hawatakuwepo ofisini mpaka baada ya wiki tatu so we will not geed detailed information.
Baada ya hizo disappointments tulikaa chini na Investor akaniambia tu "Sorry I haven't been convinced enough to invest in your country but let's keep intouch" akala PIPA akarudi zake.

Pole sana ndugu, hiyo ndiyo bongo bwana! kila mtu mbabaishaji, kama huyo mkurugenzi mwenyewe wa TIC ni kilaza unategemea surbodinates wake watakuwaje? wanachojua wao ni kuvaa macheni ya Gold na ku-scrub sura zao kila jumamosi na kutembelea ma V8 ya uma.

Safari ya kufikia maendeleo Bongo pengine itaanza miaka 100 ijayo.
 
Mkuu fanya kwanza research wenyewe.
Have a proposal in hand first.Hata huko unako dhani kuwa hapaja endelea kimiundo mbinu ni kuzuri huko mbeleni na utajikuta wewe umeshajiwezesha kimasoko (marketing) pale miundo mbinu itakapo tengemaa.
 
Tatizo letu wa-TZ ndo hilo kila mtu mbabaishaji tu utafikiri wajaenda shule. Hapa ndo nachoka kabisa na wasomi wa TZ. Utakuta mtu ana shahada kama utitiri lakini angalia mambo anayoyafanya haviendani kabisa na usomi wake! Sidhani kama tutawafikia wenzetu katika hii EAC! Kazi kweli kweli! na wewe jamaa yangu mtindo wa kwenda kujirundika North circuit nani kakushauri tunataka tu mahali ambako wenzetu walishaanza kufanya biashara wazo la kuwa wabunifu hatuna kabisa!!!!!! Eti tu kwa vile fulani amefanikiwa huko North na wewe ndo unaona huko ndo kuzuri! Biashara inahitaji promotion kaka ongea na jamaa wa marketing watakushauri hata huko South kutakuja kuwa kuzuri tu!
 
Nakushauri wasiliana na Business Services & Consultancy Ltd. Wapo Millenium Business Park, Morogoro Rd. Office # 7
Watakupa ushauri wa kitaalam. Investment kubwa kama hiyo ya $5M inataka upate ushauri wa kiTaalamu.
 
Hili ni tatizo kubwa kwenye hii nchi, wafanyakazi wengi wa maofisi ya serikali hawatimizi au hawajui wajibu wao.
 
Kaka, tafadhali tuwasiliane: I work for a Not for profit-American Public Benefit Corporation. we invest in Between Tanzania and USA and Burundi with USA. Our strength, we are backed by the American People which by the way are our-friends. We have ability to convince your investor to resume business with you. Please contact us. We are American Start-up Ventures
Wabunifu USA
323-293-3071
yasser.mziba@wabunifu.org

We are Bilingual, Kiswahili, Kirundi, US English, UK English, Arabic, French and Spanish.
FaceBook, Wabunifu USA.

Mungu akipenda atarudi.

Thanks, appreciate - will contact you shortly
 
Tatizo letu wa-TZ ndo hilo kila mtu mbabaishaji tu utafikiri wajaenda shule. Hapa ndo nachoka kabisa na wasomi wa TZ. Utakuta mtu ana shahada kama utitiri lakini angalia mambo anayoyafanya haviendani kabisa na usomi wake! Sidhani kama tutawafikia wenzetu katika hii EAC! Kazi kweli kweli! na wewe jamaa yangu mtindo wa kwenda kujirundika North circuit nani kakushauri tunataka tu mahali ambako wenzetu walishaanza kufanya biashara wazo la kuwa wabunifu hatuna kabisa!!!!!! Eti tu kwa vile fulani amefanikiwa huko North na wewe ndo unaona huko ndo kuzuri! Biashara inahitaji promotion kaka ongea na jamaa wa marketing watakushauri hata huko South kutakuja kuwa kuzuri tu!

Thanks - well noted
 
Nakushauri wasiliana na Business Services & Consultancy Ltd. Wapo Millenium Business Park, Morogoro Rd. Office # 7
Watakupa ushauri wa kitaalam. Investment kubwa kama hiyo ya $5M inataka upate ushauri wa kiTaalamu.

Thanks - well noted
 
Duh pole kaka, we keep in touch nae then tafuta plan nyingine kama hiyo ishambwela.
Safari hii make sure kila kitu kipo sawa ndio umuite. Hata angekuwa mtz mwenzio angeona unamyeyusha. Si unajua hela haitolewi kizembe. Ol the best.
 
Pole Sana,mwambie Aje tumpeleke Kigali,kuna Ecotourism oportunities kibao na serikali ya kagame iko makini sana,day one unapata vibali vyote na statistics zote za kumvutia kuanza biashara.
Mwaka jana nilisafiri kwenda US kuwasalimia rafiki zangu wanaoishi huko, bahati nzuri nikapata rafiki mpya. Kwenye maongezi aliniambia angependa kuwekeza Tanzania. Alipo niomba ushauri nikamwambia inawezekana na nikamshauri tuwekeze kwenye tourism sector which I am conversant in. She agreed and was ready to invest $5million whereby I would be of the partners.
Niliondoka US kurudi nyumbani na kuanza mchakato. Ilipofika mwaka huu mwezi wa kumi alinitaarifu kuwa angekuja mwezi November. Kabla ya kuja Tanzania alitembelea ofisi zetu za ubalozi zilizo US na kuomba ushauri on the same issue, walimshauri kama anataka kuwekeza katika sector ya utalii lazima afike ofisi za TIC, TTB, na Ministry of Tourism. She asked me to organize meetings with those authorities.
DISSAPOINTMENTS:
1. Nilituma e-mails kwenda TIC, TTB na Tourism lakini hakuna hata moja iliyojibiwa mpaka leo hii ambapo ni karibia mwezi sasa.
2. Nilipiga simu kuomba appointments nikaambiwa twende tu haina haja ya kufanya appointments
3. Tulikwenda TIC idara ya trade facilitation but we did not get any useful information because the guy could not explain opportunities we have in tourism investment so it ended up being trade frustration.
4. Nilikwenda TTB Idara ya marketing and it was same story, Boss was trying to promote the southern circuit which does not have infrastructures and also he was not aware of the business volume in terms of figures. I know southern circuit is not doing well in tourism business. So it shouldn't be advisable for a new Investor until infrastructures will be in place.
5. Nikawapigia tourism (TANAPA) for appointment nikaambiwa wakubwa hawatakuwepo ofisini mpaka baada ya wiki tatu so we will not geed detailed information.
Baada ya hizo disappointments tulikaa chini na Investor akaniambia tu "Sorry I haven't been convinced enough to invest in your country but let's keep intouch" akala PIPA akarudi zake.
 
Pole Sana,mwambie Aje tumpeleke Kigali,kuna Ecotourism oportunities kibao na serikali ya kagame iko makini sana,day one unapata vibali vyote na statistics zote za kumvutia kuanza biashara.

Thanks for the info, infact on her way back to US, she went through Rwanda.
 
ha haha,eti boss atakuwepo baada ya wiki tatu...inasikitisha lakini mbavu sina.
 
Ninaposoma hoja kama hizi nalengwa na chozi.
Tutaongeza juhudi kui-push serikali na idara zake kufanya kazi kwa umakini zaidi. Tunapoteza fursa nyingi sana kwa sababu ya kusaidia ndugu na jamaa kupata kazi wakati hawafit ktk hizo positions.

Thanks for the info, infact on her way back to US, she went through Rwanda.
ni pm contacts zake,i can link yin ou guys with some key people who have invested in
hospitality industry Rwanda,hata hivyo ukienda naye still utapata uduma nzuri tu,nilisajili
biashara yangu in a single day
 
Kupata taarifa serikalini na mashirika yake ya uma kwa kuandika barua au barua pepe, unajisumbua, hawajibu barua hata siku moja.

Huu ndio upuuzi wa watumishi wa umma,
inauma, inasikitisha sana, wakati naisoma nilihisi uchungu sana kama ni mimi.
Habari kama hizi labda zinatakiwa zitokee front page ya magezeti makini kama mwanahalisi labda watajirekebisha
 
Mwaka jana nilisafiri kwenda US kuwasalimia rafiki zangu wanaoishi huko, bahati nzuri nikapata rafiki mpya. Kwenye maongezi aliniambia angependa kuwekeza Tanzania. Alipo niomba ushauri nikamwambia inawezekana na nikamshauri tuwekeze kwenye tourism sector which I am conversant in. She agreed and was ready to invest $5million whereby I would be of the partners.
Niliondoka US kurudi nyumbani na kuanza mchakato. Ilipofika mwaka huu mwezi wa kumi alinitaarifu kuwa angekuja mwezi November. Kabla ya kuja Tanzania alitembelea ofisi zetu za ubalozi zilizo US na kuomba ushauri on the same issue, walimshauri kama anataka kuwekeza katika sector ya utalii lazima afike ofisi za TIC, TTB, na Ministry of Tourism. She asked me to organize meetings with those authorities.
DISSAPOINTMENTS:
1. Nilituma e-mails kwenda TIC, TTB na Tourism lakini hakuna hata moja iliyojibiwa mpaka leo hii ambapo ni karibia mwezi sasa.
2. Nilipiga simu kuomba appointments nikaambiwa twende tu haina haja ya kufanya appointments
3. Tulikwenda TIC idara ya trade facilitation but we did not get any useful information because the guy could not explain opportunities we have in tourism investment so it ended up being trade frustration.
4. Nilikwenda TTB Idara ya marketing and it was same story, Boss was trying to promote the southern circuit which does not have infrastructures and also he was not aware of the business volume in terms of figures. I know southern circuit is not doing well in tourism business. So it shouldn't be advisable for a new Investor until infrastructures will be in place.
5. Nikawapigia tourism (TANAPA) for appointment nikaambiwa wakubwa hawatakuwepo ofisini mpaka baada ya wiki tatu so we will not geed detailed information.
Baada ya hizo disappointments tulikaa chini na Investor akaniambia tu "Sorry I haven't been convinced enough to invest in your country but let's keep intouch" akala PIPA akarudi zake.

Najua kuwa umepata disappointment kutokana na experience yako. Na wala siyo nia yangu kutetea utendaji kasi wa taasisi za kiserikali ambazo zimeoza siku nyingi. Lakini nikisoma vizuri bandiko lako naona kama na wewe pia hukuwa umefanya maandalizi ya kutosha kabla hujamwalika huyo mwekezaji.

Ilitakiwa kwanza uwasiliane na hao watu wote ambao mlipanga kukutana nao na kisha uandae taarifa za kutosha ili atakapokuja akute tayari na wewe una taarifa muhimu za kufanyia kazi. Badala yake inaonekana wewe ulikurupuka tu kwenda kwenye hizi ofisi za serikali ambazo kimsingi hazifanyi kazi kama zinavyotakiwa na mbaya zaidi umekurupuka na mwekezaji akiwa kesha fika nchini. Poor you.
 
Mkuu, kosa ulilofanya ni kuitumainia serikali wakati hatuna serikali ya kutumainia. Do your own research, establish contacts and resume the process. Check pia ushauri wa #3 hapo juu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom