Investigation discovery (IDx) moja ya channel nzuri sana

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,378
Kama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani

Ni ukweli usipingika kwamba wahalifu wa marekani wanatumia akili kubwa sana na wapelelezi na polisi wa marekani kwa kiasi kikubwa sana wanatumia akili kubwa sana

Kitu ambacho wananifurahisha ni hata ipite miaka kumi bado muhalifu anaweza kukamatwa

Ile case oj simpson ilikuja geuka vita kati ya wazungu na african american siku ya verdict hakimu anasema oj simpson hana hatia wazungu wanalia ni moja ya documentary nzuri sana
 
My favourite channel kwa DsTV. Inakupambanua akili jinsi ya kukabiliana na mazingira, watu, situation etc, na namna gani vitu hivyo vitatu vinaweza kukusaidia au kukuangamiza hususani yanapokuja maswala yanayohusiana na uhalifu.
 
Huko ndo wanaonesha maana halisi ya uchunguzi na wapelelezi sababu hata wakimkamata mtu akikataa kuongea wanakausha wanatafuta ushahidi kamili unaomlink mtu sio kama huku bongo wakimhisi tu mtu wanamkamata wanampa kipigo eti akiri makosa yani hawajishugulishi kabsa mwsho wa siku mtu anasota mahabusu kumbe hajahusika...
 
Wale wapelelezi wao wanatumia sana akili
 
Binafsi huwa naielewa Sana, kuna ishu nyingine kujulikana kwake huwa naamini ni mapenzi ya mungu,kuna ishu moja mwamba kaamua mtu bafuni kamkatakata vipande vidogo vidogo kisha kamtupa ziwani, lkn miaka mingi baadae akajulikana
Kuna moja huwaga naikumbuka sana jamaa alisingiziwa kuua mwaka 1980 ila amekuja kutoka mwaka 2000 baada ya wapelelezi na rafiki zake kumpigania sana
Mwaka 2000 kuna mtu alikuja akasema jamaa hakuhusika
 
Kama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani

Ni ukweli usipingika kwamba wahalifu wa marekani wanatumia akili kubwa sana na wapelelezi na polisi wa marekani kwa kiasi kikubwa sana wanatumia akili kubwa sana

Kitu ambacho wananifurahisha ni hata ipite miaka kumi bado muhalifu anaweza kukamatwa
channel namba ngapi hiyo?
 
ID My all time favourate channel, Kuna kipindi nilikua naangalia mfululizo mpaka watu wa karibu wananiuliza mbona umekaa kimachale mda wote.

Maana kupitia hizo documentaries inakufanya umwone Binadam sio mtu wa kumwamini.

Channel no. 171
Kwa wanaopendwa true crime documentaries,
 
Huko ndo wanaonesha maana halisi ya uchunguzi na wapelelezi sababu hata wakimkamata mtu akikataa kuongea wanakausha wanatafuta ushahidi kamili unaomlink mtu sio kama huku bongo wakimhisi tu mtu wanamkamata wanampa kipigo eti akiri makosa yani hawajishugulishi kabsa mwsho wa siku mtu anasota mahabusu kumbe hajahusika...
Kutokana na hii reply yako, nauliza hakuna link au tag humu ya jeshi la polisi nataka wasome hii reply yako?.
 
Kama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani

Ni ukweli usipingika kwamba wahalifu wa marekani wanatumia akili kubwa sana na wapelelezi na polisi wa marekani kwa kiasi kikubwa sana wanatumia akili kubwa sana

Kitu ambacho wananifurahisha ni hata ipite miaka kumi bado muhalifu anaweza kukamatwa
FBI files ndio balaa , kuna mambo mle ukiangalia unabaki kinywa wazi
Hawa migambo wa Bongo Akili kisoda na corrupt bado wana safari ndefu sana
 
Weledi kwenye crime investigation na prosecution bado sana huku , vyombo vyenyewe havina weledi ,vinatumika kisiasa na wanafanya ujambazi na uhalifu kama wahalifu wengine
 
Kama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani

Ni ukweli usipingika kwamba wahalifu wa marekani wanatumia akili kubwa sana na wapelelezi na polisi wa marekani kwa kiasi kikubwa sana wanatumia akili kubwa sana

Kitu ambacho wananifurahisha ni hata ipite miaka kumi bado muhalifu anaweza kukamatwa
DSTV channel ngapi?
 
Kuna moja huwaga naikumbuka sana jamaa alisingiziwa kuua mwaka 1980 ila amekuja kutoka mwaka 2000 baada ya wapelelezi na rafiki zake kumpigania sana
Mwaka 2000 kuna mtu alikuja akasema jamaa hakuhusika
Huyo ilibidi baada ya kukwepa huo msala achinje ngamia
 
Back
Top Bottom