Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
kwanza nnawapongeza new moderators wapya na nnaahidi kutoa ushirikiano wangu wa dhati kwao pale wasipoenda kinyume na matashi tuliojiwekea humu.
pili nnapenda kumpongeza mzee invi kwa kazi yako na ubarikiwe pamoja na moderators wote.
tatu mkjj mchonganishi ashindwe na alegee kwa nguvu za jf maana kusema wakaribie kuumizwa vichwa ni kututusi wanachama wa jf na kutukosea adabu na kulivunjia hadhi baraza.
mwisho mamoderators kuweni waadilifu na wawajibikaji msiongozwe na hisia za watu bali sheria za JF. na watu muwatreat pamoja na mada ktk kipimo kimoja bila kujali nani kaanzisha mada au katuma thread