Introducing: New Moderators

Status
Not open for further replies.
kwanza nnawapongeza new moderators wapya na nnaahidi kutoa ushirikiano wangu wa dhati kwao pale wasipoenda kinyume na matashi tuliojiwekea humu.

pili nnapenda kumpongeza mzee invi kwa kazi yako na ubarikiwe pamoja na moderators wote.

tatu mkjj mchonganishi ashindwe na alegee kwa nguvu za jf maana kusema wakaribie kuumizwa vichwa ni kututusi wanachama wa jf na kutukosea adabu na kulivunjia hadhi baraza.


mwisho mamoderators kuweni waadilifu na wawajibikaji msiongozwe na hisia za watu bali sheria za JF. na watu muwatreat pamoja na mada ktk kipimo kimoja bila kujali nani kaanzisha mada au katuma thread
 
Hadi pale tutapokuwa na baraza maalum la kuendesha JF ndipo nitaachia kila kitu kwa baraza husika.
baraza linaanza lini?
Nani analiteua?
nani anaruhusiwa kuwa katika baraza(kwolifikesheni)?
 
Painkiller,
humo ndani ya hivyo vidonge, una dawa gani? Mie nafikiri ndani kuna OPIUM. Mtu akibugia, ahhh ana relax na hata awe na maumivu ya aina gani, yeye utamuona anacheka tu. Dozi zake jamaa huyu kwa kweli huwa nzito..... :)
 
Greetings ladies and Gentlemen.

I wish to introduce to you our crew of moderators.

1. Brutus (Whole forum)
2. Ole (Whole Forum)

We've 2 new Moderators:

1. PainKiller (Whole Forum)
2. Picassa243 (ICT Forums Moderator).

I trust you'll enjoy their services and any complaints to risen to invisibleATjamboforumsDOTcom.

Rgds,


Invisible


Anahitajika MOD kule kwenye religious forum maana matusi yamezidi kule.

SAHIBA.
 
1. Brutus (Whole forum)
2. Ole (Whole Forum)

We've 2 new Moderators:

1. PainKiller (Whole Forum)
2. Picassa243 (ICT Forums Moderator).

Invisible, Moderators ama wanaJF. Hivi zaidi ya hawa moderators wanne, pamoja na mwingine namjua Silencer (huyu namwogopa sana manake anaweza kunifungia bila kusema wapi nimekosea), ni wakina nani tena ni moderators.
 
Watendaji Wapya karibuni mtufaidie na wale mliokuwepo hongera na kazi njema. Bila shaka mtasaidiani zaidi kufanya mambo mazuri zaidi BRAVO
 
Humjui dada farida wewe? naye yumo kwenye orodha ya mods tulimkaribisha mwaka jana hapa jamvini.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom