Interview ya visa ubalozi wa Marekani

FStiveb

New Member
Aug 21, 2019
4
6
Jamani naombeni msaada wa mawazo juu ya kufanya malipo online nahitaji kulipia visa ya Canada Leo siku ya nne.

kila nikilipia sipati OPT code kutoka bank ili niingize kukomferm malipo, lingine nahitaji mwenye kujua nimaswali gani haswa wanauliza pale ubalozi wa Marekani maana Nina interview jumanne ya Visa natanguliza shukrani.
 
Unaenda Marekani au Canada au ni mimi ndio sijaelewa maswali yako hapo??Pia ukiwa unauliza swali jaribu kuwa open sema unaenda kusoma au kuishi au kufanya nini ili iwe rahisi kwetu kukusaidia...
 
Unyama mwingi
'MIMI NI CREW MEMBER NILITAKIWA KWENDA CANADA LAKINI KWAVILE MELI NAYOENDA KUFANYA MAKAO MAKUU YA OFICE YAPO MIAMI KWAHIYO INATAKIWA C1D VISA ILA JOINING PORT YANGU ILIKUWA CANADA BUT NASHUKURU MUNGU KAMPUNI WAMENIBADILISHIA NAJOING BOSTON USA NA VISA NISHAPATA ASANTENI KWA SAPORT YENU
 
Kila la kheri huko kwenye ma cruise ships!!
 
Back
Top Bottom