Interview tcaa,heslb, St John university

mkuu hata mimi naisubiria hiyo ya st Johns, tujuzana kama kuna mwenye details
 
ST JOHN hawana hela ya kuwalipa waalimu....sasa sijui ni issue ya david cameron ....maana chuo kinafadhiliwa na kanisa anglican la uingereza
 
ST JOHN hawana hela ya kuwalipa waalimu....sasa sijui ni issue ya david cameron ....maana chuo kinafadhiliwa na kanisa anglican la uingereza

Khaa! Jaman kila sehemu hakuna matumaini,tufanyeje sasa ili tupate mitaji tujiajiri?
 
Wakuu vipi kuhsu SSRA wameshaajiri? maana tangu waite watu kwenye interview inshapita mwezi. kulikoni? Na kule wizara ya elimu nako vipi? walitangaza kazi ya Project Finance officer, interview bado? Waliokaribu na majiko hayo mawili naomba mnijuze
 
Back
Top Bottom