Interview equity bank

new generation

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
814
1,629
Habarini za kwenu wapendwa? Nimatumaini mko poa! But back to the topic! Nikwamba nilifanya interview equity bank takriban wiki nne zimepita! Ila mpaka sasa kimya, je kuna mtu yeyote mwenye updates?
 
labda ni ile principle ya only short listed candidates will be contacted...kuna jamaa yangu amesha itwa sasa sijajua upande wako ni kipi kinaendelea
 
Wamemuita lini kaka?? Yupo training au kaisha anza kazi?
 
Back
Top Bottom