Jamani sijawahi kutumia vodacom ila nimejaribu kwa mara ya kwanza leo na nimeingia kwenye hii ofa yao ya unlimited kwa sh 200 usiku, natoa ushuhuda kuwa kasi nliyokumbana nayo ni ya ajabu jamani sijawahi ona, napakua vitu kwa kasi ya moto sana

... lahaaaa

mzazi wamekuahidi kukupa sh ngap kuwapromote voda