International driving license

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,565
8,427
Nisiwachoshe

Greetings kwenu nyote!

Najua JF ni sehemu sahihi ya kujua mambo mengi, pamoja na kwamba mimi dereva kitambo sana lakini sijawahi kufatilia hili na ninaomba mwenye uelewa nalo anisaidie kujua njia zipi naweza kupitia kufanikisha.

Namna gani naweza fanya na njia zipi naweza kupita ili niweze kupata International Driving Licence?

Msaada tafadhali.
 
Jambo Lipo JF Muda Nakushauri Utafute Hiyo Thread Limeongelewa Kwa Upana Wake
 
Back
Top Bottom