intention ya mwanaume ni nini?

Inawezekana kabisa kuwa na rafiki mwenye jinsi ya tofauti na wewe na mkaishi bila kuishia kufanya ngono.

Kwanza mwatakiwa kujua maana ya urafiki ambao mnaingia kwani kama mnaombana urafiki huku mnatamaniana ni tatizo.

Pili muweke wazi mahusiano yenu,kama mna wapenzi na hao wapenzi wenu waelewe urafiki wenu ili kusiwe na shutuma na kuhisiana vibaya.

Mimi nina rafiki mwanamke na huu ni mwaka wa nne sasa tupo pamoja na tunasaidiana mambo mengi na haijawahi hata siku moja kuwaziana mambo ya kimapenzi.

Mkuu nakupongeza maana si rahisi kudefeat nature or some of the universal practice
 
A worthless man will
open your legs, An
intelligent man will open
... your mind, a handsome
man will open your
eyes, and a gentleman
will open your heart
 
urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke unawezekana kabisa....tatizo letu ni kwamba hatujui jinsi ya kuhandle such a relationship.

ili kuwepo na urafiki tuu basi ni lazima kwanza ijulikane kabisa kuwa no spending tym mkiwa nyie wawili tuu. pili mambo ya tigo extreme yasiwepo maana huko ndio vijineno kama dear swity uaanza before long mmnaanza kuonhelea mapenzi. kubali kuwa mazoea hujenga hisia hivyo basi hakikisha mnasocialize katika group enviroment.

jambo lengine ni kwamb lazima tujenge tabia ya kuwa na mahusiano na opposite sex pale.ambapo tuna nia ya kupata mqenzi wa maisha. mahuaiano ya karibu while upo upo tuu uleta hisia za kimapenzi na hivyo kutokea kutongozana. hivyo basi ni vyema ukapotezea kuwa na marrafiki wa opppsote sex kama haupo ready kuingia kwenye ndoa. wewe kuwa na wanawake mnaofahamiana nao tuu
 
Asante Adoley,jaribu tu inawezekana kabisa.


Mkuu nitajitahidi, lakini tatizo inapotokea kushawishiwa na upande wa pili si unajua samson, daud and the likes waliishia

kumuasi mungu, hususani neno udhaifu wa ndani wa mwanadamu.

thanks nitajitahidi mkuu.
 
A worthless man will
open your legs, An
intelligent man will open
... your mind, a handsome
man will open your
eyes, and a gentleman
will open your heart
Hahaha I agree with you this time :biggrin:
 
Mkuu nitajitahidi, lakini tatizo inapotokea kushawishiwa na upande wa pili si unajua samson, daud and the likes waliishia

kumuasi mungu, hususani neno udhaifu wa ndani wa mwanadamu.

thanks nitajitahidi mkuu.
Inaweza kutokea ila angalia toka mwanzo mlianzaje,jaribu utaona raha yake na faida zake ni nyingi.
 
My best friends ni wanaume. Friends for the rain and the sunshine, and we love each other. Men who can encourage me, advice and sometimes boost me. I do the same for them and we are open to our partners about our endevuors! Na trust me, hakuna elements za mapenzi hapo!
 
My best friends ni wanaume. Friends for the rain and the sunshine, and we love each other. Men who can encourage me, advice and sometimes boost me. I do the same for them and we are open to our partners about our endevuors! Na trust me, hakuna elements za mapenzi hapo!
King'asti, haupendi marafiki wa kike?
 
Last edited by a moderator:
A worthless man will
open your legs, An
intelligent man will open
... your mind, a handsome
man will open your
eyes, and a gentleman
will open your heart

:poa Smile, I wanna be ol those men in one...!!!
 
Last edited by a moderator:
sometimes mwanaume akimtamani mwanamke, anaanzaga na gia ya urafiki kwanza.. then anausoma mchezo..baadae lazima uliwe, ikishindikana urafiki unakufa taratibu..!
 
N-POLE AND S-POLE ATTRACT EACH OTHER,
N-POLE AND N-POLE REPEL EACH OTHER
law of electromagnetism, Sir Isack Newton!
 
Mara kwa mara huwa najiuliza, mwanaume akiomba urafiki wa kawaida kwa mwanamke anakusudia nini? Maana wengi wao wanaishia kufall in love na kuumizana hisia zao ilihali ulirafiki ulioombwa ni wa kawaida. Haiwezekani kukawa na urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume forever? Hii inapelekea hata mwanamke akianzankuzoelewa na baadhi ya wanaume wanao mzunguka kwa japo salamu tu, anapata hisia mbaya kichwani mwake. Na kwanini ishindikane?.

Hakuna kitu kama urafiki wa kawaida, ukiona jamaa anakuapproach just know he is thinking of taking you to bed nothing else, mambo mengine hufuata baadaye, thats how men are wired!!
 
Acheni zenu, kama demu simfeel kihivyo. Mfano, nilikuwa PCM shule fulani na mademu darasani mwetu walikuwa kama sita. Wako kawaida, ila sio kivile. I mean they never appealed to my eyes at all. So it depends na mwanaume. Ila kama mtoto laini, thick, eeh mzuri hapo kusema nataka urafiki tu nadanganya. Lakni kumbuka lazima umfeel mtu at first glance.
 
ucjal King Kong III kuanzia leo we best yangu forever n for always, best tu, hakuna lingine :eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
urafiki ukisha weka mahusiano ya mapenz mbele ndo mwanzo wa kufa, inawezekana kabsa kuwa marafki na heshma ikawepo
 
Back
Top Bottom