Intelijensia ya Chadema inazidi kukidhoofisha chama

tumewapa mafisadi siku 90 wajivue magamba sorry ni miaka 90 kumbee haa haa haa
 
Ukiwatisha watu wa lumumba ni sahihi kwani kwao policy ni akili ndogo kuongoza akili kubwa na tumefika hapa tulipo sababu ya akili ndogo kama zako kuongoza akili kubwa za akila mutu ya bwagamoyo haa haa haa
Angalia Status yangu vizuri Ritz...
 
Hivi Ritz unalipwa shillingi ngapi kufanya hii kazi ambayo haina utafiti wa aina yeyote na ya kuchefua kiasi hicho?. Najua huipendi lakini kwa sababu ndio inayokuweka mjini basi huna jinsi
 
Kuna madaktari wengi ilikuwaje Dr. Ulimboka mkataka kumuua....kwanini kombe mlimuua?

Mkuu ongezea na hili afikilie jonasi savimbi wa angola alikuwa na wafuwasi wengi sana.ni kwanini serekali ya angola walimtafuta savimbi tu na kumuua?.kwa nini wafuwasi wake hawa kuuawa?.na baada ya savimbi kuuawa kitu gani kilitokea?.
 
Wanachofanya Chadema kinanikumbusha maneno ya Gobbles aliyekuwa Waziri wa Propaganda wa utawala wa Adolph Hitler wakati wa vita kuu ya pili ya dunia 1939-1945 alisema jambo lolote ukitaka lienee na likubalike upesi litangaze na ulikariri mara kwa mara...lakini viongozi wa Chadema wanashindwa kujua kuwa watanzania wa sasa si wajinga wa kuamini kila neno la mwanasiasa.
kumbe umeelewa waTZ wa sasa si wajinga na ndo maana hao wabunge wenu wakiwemo mawaziri wanazomewa kila kukicha katika majimbo yao kwa sababu ya siasa zao za maneno na ahadi ambazo hawazitekelezi. Pia kwenye Thread yako kuhusu matokeo ya Uraisi usipende kujitia aibu kuyazungumzia hayo kwa nini jukumu la kutangaza matokeo Tume ilikataza matokeo ya Uraisi yasitangazwe kutoka majimboni na ilitangaza yenyewe na mengi yalikuwa yanatofautiana na matokeo halisi yaliyokuwepo katika majimbo? kwa hapo Tume si ilichakachua matokeo?
 
unaongelea usalama upi wa taifa? huu wa mabwepande?



Chadema wanadhani wanafanya makubwa kumbe wanajidanganya wenyewe wanaonyesha pia hawaelewi kabisa jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa wanadhani ni chama cha siasa ni wapinzani wao wanaweza kurushiana vijembe na maneno mengine ya kipropaganda.

.
 
Hata ccm ina watu wengi sana lkn Samwel sita alilalamika kuwa yy na Mwakyembe wanawindwa na kweli baadae yalitimia, pole
 
hivi CCM wanabisha kwamba huo mtambo hauko kwao?mimi nina full info hata mkitaka stakabadhi ya manunuzi na mahali iliponunuliwa tuta produce,mat the moment is still too early to put each and everything on the table as the police intelligence unit is still working on it,ila tuko kamili na tutatoa ushiriako vizuri kabisa,mfano mfupi pia wa huo mtambo ni pale tarehe 9.06.2012 jagwani walipokuwa wanafanya mkutano wao CCM walituma msg hii kwa center number ambayo sio ya Tanzania +46730199100 ili kuwa danganya watanzania kwamba anayetuma msg yuko nje ya nchi na sio kweli na quote msg yenyewe
"Safari ya CCM kushinda uchaguzi 2015 inaanza leo DSM.wanaCCM wote imefika wakati sasa tuseme basi juu ya upotoshaji na propaganda za wapinzani.CCM HAITETEREKI"
Hapa pia mtabisha so CCM waliotuma hii MSG?
 
Hoja DHAIFU daima huletwa na mtu DHAIFU kuongelea mambo DHAIFU kwa madhumuni ya kuwasafisha watu DHAIFU..

mkuu Mungu akubariki na nimeipenda hii kwani CCM ni dhaifu tena vilaza na katu hawataweza kujinasua dhidi ya kashfa ya ufisadi till mwisho wao.
 
Una baseline Data mkuu za kutueleza kuwa CHADEMA ilikuwa wapi na baada ya intelejensia yake iko wapi? try to see beyond your flat nose!
 
Hawa Chadema wana siasa za kubahatisha .

Chadema wanasema Intelijensia yao ndio imewambia kuwa hawana imani na Usalama wa Taifa na vyombo vingine vya dola, wakati huo huo wanajiandaa kuongoza taifa letu, je endapo watafanikiwa watatumia vyombo gani kama hawana imani na hivi vilivyopo... Hata hao waliopigania uhuru dhidi ya wakoloni walipopata uhuru walilazimika kuwatumia polisi wale wale waliofunzwa na mkoloni.
 
we subiri hukum yako mwaka 2015. Sasa hivi unatuibia pesa zetu ukidhani ccm itakuwa madarakani milele. Tunafaham mali zako zote na jinsi ulivyozipata. Elewa tuna hasira sana na wewe.
 
Anzisha thread ya kuitukana Chadema kama anavyofanya Ritz upeleke hiyo project yako kwa Nape utapata hela mpaka ya Idd el ftri

Mimi ni CCM damu siku zote nakitetea chama changu kinapofanya vizuri na kukikemea kinapokosea. Hakuna hata siku moja nimepata pesa kwa kukitetea lakini nashangaa hapa JF unaambiwa umepewa pesa na Nape bila shaka CDM ndio itakuwa inatoa pesa maana jamaa mnatetea hata utumbo unaofanywa na viongozi wenu.
 
Back
Top Bottom