Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 422
- 86
Jamani leo nlikua nackiliza bongo flava ya old times..nika kutana na Ama zangu ama zao ya east coast na Mtoto wa geti kali. Kiukweli nlikumbuka enzi zile hzo nyimbo zilikua juu..lakini leo hata cjui hawa wasanii wako wapi, cjui wanafanya ninh. Cjui mziki ndo bas au ndo wanajipanga. Yaani sana ya bongo kaazi kweli kweli.