Inside Celebrity Closets....!!!!

my closet....
DSC03332.JPG

Hapo mama wa kibongo ana pea moja tu!! Kweli watu wanatofautiana
 
huu ni wehu tu

mwaka mmoja una siku 365

that mean mtu akiamua kuvaa kiatu kipya kila siku
anahitaji viatu 365 tu
sasa mtu ananunua viatu 3000..vya nini?
na kila mwaka anongeza vingine 2000 labda for what?

huu ni wehu mtupu..

na mnao shabikia wehu huu mtakuwa na ugonjwa huu pia

Wakifanya hivyo kamanda mitumba itakuwa haikuji huku kwetu, tembelea stand ya mwenge jioni uone wadada wanavyofanya shopping hapo. Akiwa na 50000 anajaza kabati...
 
Hawa wote ni punguani; miguu yenyewe miwili jozi zote hizo za nini? Pengine wangetoa jozi nyingine kwa maskini waliojaa marekani wangepata thawabu!!!!

Hizo thawabu tunajua mimi na wewe mkuu, wao hawaani hizo mambo!
 
huu ni wehu tu

mwaka mmoja una siku 365

that mean mtu akiamua kuvaa kiatu kipya kila siku
anahitaji viatu 365 tu
sasa mtu ananunua viatu 3000..vya nini?
na kila mwaka anongeza vingine 2000 labda for what?

huu ni wehu mtupu..

na mnao shabikia wehu huu mtakuwa na ugonjwa huu pia
Mkuu,
Watu wana pesa na hawajui wazifanyie nini.

Kwao wao na kwa mawazo yao, pesa ni zao na ni kwa matumizi yao kwa sababu wametafuta kwa jasho lao.
 
huu ni wehu tu

mwaka mmoja una siku 365

that mean mtu akiamua kuvaa kiatu kipya kila siku
anahitaji viatu 365 tu
sasa mtu ananunua viatu 3000..vya nini?
na kila mwaka anongeza vingine 2000 labda for what?

huu ni wehu mtupu..

na mnao shabikia wehu huu mtakuwa na ugonjwa huu pia

Yani ni wehu mkubwa na kufuru
 
Back
Top Bottom