Innaa lillahi wainnaa ilayhi raaji uun waislamu tumefikia hatua hii ?!!!

Status
Not open for further replies.
KakaJambazi maneno yako makali.!!
Haaaaa! Acha hasira baba. Ni mdahalo tu huu sio unafiki!
 
Last edited by a moderator:
Abdulhalim dini ya kiislamu haijaleta laana bali imeleta ukombozi na ustaarabu ktk ulimwengu huu.

Ni dini pekee inayomfundisha binaadamu kuanzia kuoga kupiga.mswaki, kuvaa kistaarabu , kulea watoto, kuishi na jirani.
Kufanya biashara. Ukulima bora. Kuhifadhi pesa benki. Sayansi na teknolojia mpaka namna ya kulala !!
. Na kila ambacho binaadamu anakihitaji kuishi kwa raha!

Lakini wachache wenye kulijua hilo.

Cc Izz
Sipo kwene mood ya kujadili propaganda/
 
umasikini mbaya sana,unakuondolea imani yako kama huna msimamo mkali(marekani hatako waislam wanojitambua au wenye msimamo mkali).Kitendo hiki ndicho kinachofanya wazanzibar kuuchukia muungano.NCHI YAO INANAJISIWA NA WABARA
 
inamaana ukiwa na duka akaja mteja kununua kitu utamuuliza hela umeitoa wapi?mnapokeaga hadi hela iliyotokana na malipo ya nguruwe eti mnaiacha ya bia?halafu nyie waislam upeo wenu wa kufikiri ni mdogo sana,mmekalia lawama za kijinga tu,kwani mmepewa vyakula na sio pombe,kama hamutaki acheni wehu nyie.

Sasa wewe Area 254 kashfa zoote unazo watolea waislamu za nini!?
Atoe hoja mtu mmoja. Halafu ukashifu waislamu wooote!
Aliyekwambia huo njiwa anawakilisha waislamu wote ni nani??
Hebu kuwa na nidhamu kidogo unapoandika.
 
Last edited by a moderator:

KIWANDA CHA POMBE CHATOA MSAADA PEMBA KWA AJILI YA RAMADHANI..

PICHANI: Mkurugenzi wa Kampuni ya (KUTENGENEZA POMBE YA KONYAGI) Tanzania Distilleries Limited (TDL) David Mgwassa (kushoto),

akiwakabidhi msaada wa vyakula na mafuta ya kupikia vyote vikiwa na thamani ya sh.milioni 9, wabunge wa Zanzibar, Ahmed Ngwali (kulia), wa

Jimbo la Ziwani na Khalifa Suleiman wa Jimbo la Kagando kwa ajili ya kuwasaidia wajane na yatima waliofiwa na wategemezi wao katika ajali ya meli

ya Mv Spice na Skagit zilizotekea visiwani humo. Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam juzi.

Mgwasa, alisema,”Kampuni yetu inatoa msaada hasa kwa ajili ya Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani ili watoto hawa yatima wakapate futari.

Alisema msaada uliotolewa umelenga kuwasaidia yatima walioko Pemba kwanza. Mbunge wa Gando, Khalifa alisema “...Na pia wananchi wasitizame

nani ametoa msaada ila ini amesaidia ili tu kuwasaidia hawa wenye uhitaji,” alisema Khalifa. (via HabariLeo)

chanzo. Habarileo

Kama ningelikuwa ndio mimi mpokezi wa huo Msaada ;Wallah nisingelipokea kamwe Msaada wa haramu huo.

SURAT AL MAIDA Sura 5:90-91-92

90. Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu
katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.

91. Hakika Shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari, na akuzuieni kumkumbuka Mwenyezi Mungu na kusali. Basi je, mmeacha

92. Na mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume, na tahadharini. Na ikiwa mtageuka basi jueni ya kuwa juu ya Mtume wetu ni kufikisha ujumbe tu ulio wazi.

Pesa inayotokana na Pombe na Kamari ni Pesa ya Haramu haifai kwa Muislam kuitumia kwa kulia futari ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Wallh twinkwishaaaa
 
Kiti moto hawali lakini mchuzi wa kiti moto wanakunywa.
Pombe hawanywi wala hawauzi lakini faida inayotokana na biashara ya Pombe wanaitaka.
 
Sasa wewe Area 254 kashfa zoote unazo watolea waislamu za nini!?
Atoe hoja mtu mmoja. Halafu ukashifu waislamu wooote!
Aliyekwambia huo njiwa anawakilisha waislamu wote ni nani??
Hebu kuwa na nidhamu kidogo unapoandika.

Samahani mkuu,ujue ni hasira tu kutokana na hayo aliyoya-post huyo unayemuita "NJIWA".!
Kuna vitu vngine vinakera,na ndio maana hata Pinde alisema,"watandikeni tu"
 
Last edited by a moderator:
Abdulhalim
dini ya kiislamu haijaleta laana bali imeleta ukombozi na ustaarabu ktk
ulimwengu huu.

Ni dini pekee inayomfundisha binaadamu kuanzia kuoga kupiga.mswaki,
kuvaa kistaarabu , kulea watoto, kuishi na jirani.
Kufanya biashara. Ukulima bora. Kuhifadhi pesa benki. Sayansi na
teknolojia mpaka namna ya kulala !!
. Na kila ambacho binaadamu anakihitaji kuishi kwa raha!

Lakini wachache wenye kulijua hilo.

Cc Izz

hayo uliyoyaandika hapo juu ni dhahiri umekurupuka kama alivyokurupuka muislam mwenzio,nyie ndugu zetu jaribuni kutumia akili na sio kukubali kudanganywa tu na mashekh wenu,eti ni dini pekee inayomfundisha binadamu jinsi ya kuoga,kula,kulala nk.!UMESHIRIKISHA UBONGO KWELI?
 
teh! teh! teh! sasa hapa sijui aliyekurupuka ni nani!! wewe unaejiita jina la hao wanaokurupuka?? au hao wanaokupa darasa la ustaarabu??

Nasema tena, Uislamu ni dini PEKEE, inayo mfundisha binaadamu namna ya kuishi KIKAMILIFU!

Na hilo sio ushauri! bali ni suala lililo waaazi kabisa! Na kwa taarifa yako uislamu ni dini pekee iliyokufundisha wewe kutumia MAJI unapomaliza kuteremsha vitu chooni!!
haya na hilo kata!!
 
dini ni majanga kama ilivyosemwa na members wengine waliotangulia, acheni wenye njaa wale chakula na hao watu wa chapa k..... muwape asante na kuwaombea duwaa. Ni ukosefu wa adabu na shurani na dhambi pia kwa nyie wenye madini yenu hayo mlioletewa na wakoloni kwa kuanza kusimanga na kuulizauliza chakula kimetoka wapi na nani kaleta. Na hao wanaoijua saana dini wako wapi kusaidia? Isitoshe tunakwenda kubadili ratiba ya chakula tu kwa kula chakula kingi na aina mbalimbali wakati wa usiku, ile dhana ya kujitesa kwa kuomba toba/kutubu haipo kabisa!
 
hilo ni wazo lako binafsi lkn halina ukweli wowote ndani yake! lkn una haki ya kusema lolote kama wengine humu.
 
inamaana ukiwa na duka akaja mteja kununua kitu utamuuliza hela umeitoa wapi?mnapokeaga hadi hela iliyotokana na malipo ya nguruwe eti mnaiacha ya bia?halafu nyie waislam upeo wenu wa kufikiri ni mdogo sana,mmekalia lawama za kijinga tu,kwani mmepewa vyakula na sio pombe,kama hamutaki acheni wehu nyie.
Nilikua sitaki kuchangia lakini maneno yako yamenigusa. Mkuu hebu punguza chuki dhidi ya uislam, jaribu kuwa mstaarabu kama Mkuu Mkerekweta. Unajua mnapokua katika jamii ambayo kuna mchanganyiko wa itikadi tofauti ni lazima uvumilivu uwepo la sivyo hamuwezi kuishi kwa amani. Lazima tuelewe kwamba wote sisi binadamu tumeanzia kwa adamu{kama jina lilivyo BIN ADAMU} Yaani Kama unaitwa Salehe Omari basi wewe ni Salehe Bin Omari. Bilashaka Great Thinkers mmenipata. Tofauti zetu za kiimani zimesababishwa na wasambazaji wa maandiko ya Mungu. Nafasi ya kujadiliana na kujenga hoja juu ya uamuzi wa mtu kuwa muislam au mkristo itumiwe katika misingi ile ile ya amani na utulivu tena bila kutukanana maana sote ni Ndugu(kama nilivyofafanua hapo juu). Mtoa hoja analo la kusema kwa mujibu wa mafundisho ya dini yake aliyoyapata. Kama kwa upande mwingine amekukera basi toa comments zako katika namna ambayo yoyote atakayesoma ulichoandika,bila kujali dini yake hawezi kuchefuliwa na ulichokiandika.
 
hao wabunge wenu wenyewe si walevi tu,na sana sana huwa wanakunywa konyagi,kwanini wasipokee hiyo misaada,wakati wao ndio wadau wakubwa:A S thumbs_down:
 
Nilikua sitaki kuchangia lakini maneno yako yamenigusa. Mkuu hebu punguza chuki dhidi ya uislam, jaribu kuwa mstaarabu kama Mkuu Mkerekweta. Unajua mnapokua katika jamii ambayo kuna mchanganyiko wa itikadi tofauti ni lazima uvumilivu uwepo la sivyo hamuwezi kuishi kwa amani. Lazima tuelewe kwamba wote sisi binadamu tumeanzia kwa adamu{kama jina lilivyo BIN ADAMU} Yaani Kama unaitwa Salehe Omari basi wewe ni Salehe Bin Omari. Bilashaka Great Thinkers mmenipata. Tofauti zetu za kiimani zimesababishwa na wasambazaji wa maandiko ya Mungu. Nafasi ya kujadiliana na kujenga hoja juu ya uamuzi wa mtu kuwa muislam au mkristo itumiwe katika misingi ile ile ya amani na utulivu tena bila kutukanana maana sote ni Ndugu(kama nilivyofafanua hapo juu). Mtoa hoja analo la kusema kwa mujibu wa mafundisho ya dini yake aliyoyapata. Kama kwa upande mwingine amekukera basi toa comments zako katika namna ambayo yoyote atakayesoma ulichoandika,bila kujali dini yake hawezi kuchefuliwa na ulichokiandika.

umenena vyema mzazi! nadhani huyo kijana akikusikiliza huenda akapata faida kubwa.
 
ha ha ha ha ha ! mkipigwa misumari mizuri mnakimbilia kwenye mood! lakini wakati unatoa povu aaaa! mood yako ilikuwa swaaafi!
msumari upi unaeweza kunipiga ewe mkamua kinyec maiti, tafadhali niache nipate wasaa wa kui-train akili yangu kufikiri mambo ya maana zaidi/
 
eehe!! na hiyo pia imefundisha! wala sio kashfa , usiogope kijana!

hata ulawiti na ushoga ni mafunzo ya kiislam pia?
Kijana tumia akili binafsi,usifuate uongo wa mashekh wenu.
Si ndio nyie mnaohamasisha chuki dhidi ya watu wengne wasiokuwa waislamu kwa kuwaita makafiri,tena mnasisitiza kabisa hakuna kushirikiana nao na tena ikibidi wauawe,huo ni ugaidi ambao pia ni mafunzo ya kiislam kwa kigezo eti unapata thawabu.HAMUNA AKILI NYIE
 
Nilikua sitaki kuchangia
lakini maneno yako yamenigusa. Mkuu hebu punguza chuki dhidi ya uislam,
jaribu kuwa mstaarabu kama Mkuu Mkerekweta. Unajua mnapokua katika
jamii ambayo kuna mchanganyiko wa itikadi tofauti ni lazima uvumilivu
uwepo la sivyo hamuwezi kuishi kwa amani. Lazima tuelewe kwamba wote
sisi binadamu tumeanzia kwa adamu{kama jina lilivyo BIN ADAMU} Yaani
Kama unaitwa Salehe Omari basi wewe ni Salehe Bin Omari. Bilashaka Great
Thinkers mmenipata. Tofauti zetu za kiimani zimesababishwa na
wasambazaji wa maandiko ya Mungu. Nafasi ya kujadiliana na kujenga hoja
juu ya uamuzi wa mtu kuwa muislam au mkristo itumiwe katika misingi ile
ile ya amani na utulivu tena bila kutukanana maana sote ni Ndugu(kama
nilivyofafanua hapo juu). Mtoa hoja analo la kusema kwa mujibu wa
mafundisho ya dini yake aliyoyapata. Kama kwa upande mwingine amekukera
basi toa comments zako katika namna ambayo yoyote atakayesoma
ulichoandika,bila kujali dini yake hawezi kuchefuliwa na
ulichokiandika.

wala sina chuki na ndugu zetu watukufu waislaam,mbona ninakula nao kitimoto na bia sana tu,ni watu wangu wa karibu tu mkuu.Ila mada nyingne za kipuuzi na ndio maana hata wewe ulishndwa kuchangia kwa kuogopa kutoa maneno makali,apate fundisho mtoa mada asirudie tena,tena alipaswa atandikwe viboko hadharani na waislam wenzake kwa kuwaona matahira.
 
hata ulawiti na ushoga ni mafunzo ya kiislam pia?
Kijana tumia akili binafsi,usifuate uongo wa mashekh wenu.
Si ndio nyie mnaohamasisha chuki dhidi ya watu wengne wasiokuwa waislamu kwa kuwaita makafiri,tena mnasisitiza kabisa hakuna kushirikiana nao na tena ikibidi wauawe,huo ni ugaidi ambao pia ni mafunzo ya kiislam kwa kigezo eti unapata thawabu.HAMUNA AKILI NYIE
matusi ni jadi yenu nyie! wala mie sikushangai lkn mi nawalaumu wazazi wako! kuto kukufundisha namna ya kuongea na wazee, matokeo yake ndio kupata mitoto kama wewe haki ya mungu ni hasara tu. bora usizae! na ni bora kuongea na mbuzi anaweza kuwa na nidhamu kidogo!
 
wala sina chuki na ndugu zetu watukufu waislaam,mbona ninakula nao kitimoto na bia sana tu,ni watu wangu wa karibu tu mkuu.Ila mada nyingne za kipuuzi na ndio maana hata wewe ulishndwa kuchangia kwa kuogopa kutoa maneno makali,apate fundisho mtoa mada asirudie tena,tena alipaswa atandikwe viboko hadharani na waislam wenzake kwa kuwaona matahira.

wewe na huyo mwenzako aliyejipa jina la kiislamu Abdulhalim nidhamu zenu ni ndogo sana, na nilikuwa najiuliza ni nini sababu!? lkn umeshanipa jibu!! ULAJI WA KITIMOTO!, hiyo ndio sababu ya kutokwa povu la kashfa dhidi ya waungwana! mkuu kiti moto kinarusha akili! nakuapia vile!! ohooo! shauri yako! wee endelea kula tu. sasa hivi utaanza kuimba brbrani!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom