Injinia stella matomato (manyanya)

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
Salaam wanajamvi,


Jana tuliweza kuuthibitishia umma wa watanzania ya kuwa jamii forum ni home of great thinkers,tuliweza kuonesha mapunguf makubwa yaliyopo katika jimbo la kilindi kwa Beatrice shelukindo{mb}.

Ningependa wanaJF wote kuibua hoja juu ya mbunge huyu zilizomo jimboni mwake ili ajue yakuwa alichokifanya Bungeni leo sicho alichotumwa.

Nawasilisha.
 
bungeni ni nafasi ya kupeleka kesi ya SMS KWA spika?huu ni udhalilishaji wa bunge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom