Ingekuwaa wewee ungefanya je?

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
Habari kwa mpigo ma greater thinker...nisiwachoshe,nihivi nyie kwenu mme bahatika kuzaliwa vijana wawili,we ndo mdogo.mkubwa wako bado anakaa karibu na home na wewe kutokana na miangaiko ya dunia unajimuvuzisha mikoani kutafuta maisha,huku nyuma kaka ako ana mpenda msichana,wanafanya kila kitu wapenzi wanachofanya na kumtambulisha home kwa wazazi wenu,anakupa tarifa kwenye cm kwamba now amepata mchumba,[unafurai na kumpongeza].
Wewe ukiwa bado kijana single/bachelor katika pita pita zako unakutana na msichana ambae amekuvutia sana...unapiga mtongozo anachomoa,ila mnakuwa na mawasiliano baada ya kukomaa sanaa anakukubali unamegaa mara kazaa ila kwa mashariti kwamba ana mtu wake.siku unarudi zako home/mkoa unakuta pilika pilika home kwenu kaka ako anataka akatambulishwee ukwenii,anakuomba wewee muende nae...bila hiyana mnaenda.hamadii anaefungua mlango ni yule binti uliyekuwa unamegaa mkoani na yeye kwa mshangao mkubwaa anapigwa na butwaa,unajikaza kiume unaingia ndani..kakaa ako anakwambia huyu ndo shemeji yako nilie kuwa na kwambia...binti anakuwa kimya we kimya je wee ungefanya uwamuzi gani?kuuchuna au kusemaa ukweli....
 
hainihusu ila bora kupiga kimya
1.inakuhusu sana.
2.shughuli itaendelea kama kawaida,hapo nitajifanya sijui lolote.
3.tukitoka,tukiwa wawili,mimi na ndugu yangu nitamwambia ukweli,ili asuke au anyoe.
4.lakini kabla ya kumweleza nitahakikisha brother mwenyewe hana bp. Si mbabe na wala hana hasira za haraka haraka.
Ni muhimu aelezwe ajali mbaya iliyotokea.
 
Umenifanya nikumbe huu wimbo. SAME GIRL.

She's the apple of my eye and my potential wife.
Man I just can't believe that we've been messing around with the same damn girl.
Thought she was someone I could trust but she's been doubling up with both of us.
 
Last edited by a moderator:
Kazi kwenu wanaume!!Nwy waswahili (sio mimi) wanasema kizuri kula na nduguyo kwahiyo wasikilizeni waswahili!!
 
ningemweleza kaka ukweli kama alivyosema Tall,ni vema kaka ajue kuwa yuko na mtu wa namna gani aamue mwenyewe....
 
Mbona sioni tatizo hapo Mpwa, si alishasema kwamba ana mtu wake?? huyo ni mkweli na mwaminifu kuliko kama angesema yuko single, alichofanya nikukusadia wewe mwenye pepo wa ngono. Unatakiwa kwenye harusi umpe bonge la zawadi na kumbatio nyiiiiingi kwa sababu alikusaidia shida yako, au nadanganya jamani???
 
wise kakaa ako unavyoo muangalia,inaonekana ana mpenda sana huyo msichana,alafu ni aina ya watu ambao sio wavumilivu wa jambo akawii kujiuwaa.
ningemweleza kaka ukweli kama alivyosema Tall,ni vema kaka ajue kuwa yuko na mtu wa namna gani aamue mwenyewe....
 
chooni?kufanyaa nini tenaa afro...

Mnhhhhhh Ukiendelea kukaa hapo Utazidi kuchanganyikiwa
hutawaza ku think straight Nini cha kufanya na kusema ..
boraUendee chooni sijui piga ukuta, ng'ata nzi,Simama,
kaaa, ruka ruka simama kaammmhhhh Ukitoka hapo at list una kamwanga kidigo ..
Na jasho limepungua...
 
Alishakueleleza ukweli, hana kosa!
Muache dada wawatu aolewe
Katafute wako
 
NATA,si kwambaa nataka kuaribu mipango yao,najua nilimpaa vitu vya hajabu na tulikuwa tunaendelea kuwasiliana na kunipa ma promise kwambaa nikijaa tuna baruzaa tena na tena,anyway mi hadi leo nimekaa kimya na nimejaribu kumkwepaa na kurudi zangu mkoani?ilaa siku nikienda kumtembelea kakaa na kukuta hayupo,ndani kabaki shemu peke yake ndo baalaa.

God forbid!!! Kumbe bado unampenda huyo mdada..................ni bora ukasema sasa kuliko ukasubiri kashaolewa halafu ulete ujinga wako.......utaharibu familia.
 
NATA,si kwambaa nataka kuaribu mipango yao,najua nilimpaa vitu vya hajabu na tulikuwa tunaendelea kuwasiliana na kunipa ma promise kwambaa nikijaa tuna baruzaa tena na tena,anyway mi hadi leo nimekaa kimya na nimejaribu kumkwepaa na kurudi zangu mkoani?ilaa siku nikienda kumtembelea kakaa na kukuta hayupo,ndani kabaki shemu peke yake ndo baalaa.
Kumbe unataka kuendeleaaaaa!
 
Mmmh! hapo utata inaonekana na wewe unampenda huyo binti. ngoja nitafakari nitakuja na jibu!
 
sio!!kwambaa nampenda wakuu...mi nimeamua kuhama kabisaa,ilaa tatizo linakuja kwa kaka angu,nikubalii aowee kitu ambacho nimetafunaa..haita kuwa mbayaaa
 
Back
Top Bottom