Ingekuwa wewe ungefanyaje.....

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,947
Jamaa amewekewa "thong" -tena chafu -kwenye laptop case yake (anasema hamjui aliemuwekea wala muda iliowekwa). Karudi nyumbani mamsapu akataka kutumia laptop ya mzee, hamad kakutana na hiyo kitu...

Msaada wa mawazo wadau - ndoa imeingia mgogoro.
 
mmmhhhhh hiyo kazi jamani.......why?

hapo ni ngumu mwanamke kuelewa,lakini ukweli utabaki uweli kuwa hajui aliyeiweka hapo.....amueleze mkewe ukweli kama ulivyo.....

najua inatia hasira lakini kama anampenda mumewe atamsamehe tu baada ya muda....asiyumbe kwenye maneno yake,wala kudanganya.....
 
Amwambie ukweli tu kwamba sio yeye aliyeweka, uzuri mara nyingi kila mke amejaliwa kumsoma mumewe kama anasema ukweli au uwongo. mie wangu akisema uongo anakuwa mpole sana na akiwa anajitetea kwa kusema ukweli huwa ni mbogo kwa kwenda mbele.
 
mimi... muwe mnawaonyesha ''thongs'' na wake zenu ili wajue ni kawaida.. hiyo hujenga jamani mtaachwa ooh.....mgeni mwenyeji hapaa
 
Mmmmmhhhh, kaja mtu kakuwekea laptop yako wala humjui????????:twitch:
 
mmmh,mayabe huyo m.me anae mtu anataniana nae au kuna m.ke kamfanyizia makusudi baada ya kumuudhi kitu,na amefanya hivyo ili hiyo thong ionekane either kwa huyo m.me au kwa mke wa huyo m.me
 
ujinga mtupu.....

sasa laptop uliacha wapi?
mbona rahisi ku tress.........
 
Back
Top Bottom