Ingawa Mark X na Crown zinatumia engine moja, Mark X inatumia mafuta vizuri zaidi

Ndiyo utagundua huku jf watu wanatudanganya...
Bei ya petrol kwa sasa ni kati ya 2250 mpka 2360 kutemea na mkoa uliopo. hata tukisema mfano lita 1 iwe 2000....bado 85000 haijazi full tank ya nissan fuga..

85000÷2250= lita 37.7 sijui ni Fuga ipi hii uenye full tank ya lita 37.7?

Hii 85000 haitoshi kuweka full tank kwenye Nissan Note yangu ambayo capacity yake ni lita 45 kulingana na bei ya sasa ya petrol....

Capacity ya Nissan fuga ni kati ya lita 60 au 70 kama sikosei....
Fuga Full tank mitandaoni inaonesha ni 79Litres wakati Crown Athlete ni 71 Litres unaweza kuangalia auto-data.net
 
Toa ujinga wako hapa. Mie nina Nissan Safari, 4500cc inakula 8km/Ltr
Hiyo yako ni ujinga. Sio gari ni takataka
Labda highway, cc4500 huwezi kupata 8kml,gari bado mpya umenunua 0km?nadhan humu kuna tatizo la watu kutojua kupima ulaji wa mafuta,kila mtu ana data za kufirika,gari ya cc2000 used japan na tanzania,ulaji wake hauwezi kuwa mzuri kihivyo
 
Kama ni diesel anaweza kupata hizo km8 kwa lita bila shida tena highway anaweza akapata 9 mpaka 10..
 
Nimemaanisha ya kizamani kwa maana model jinsi ilivyo maana Mark X zilianza kuja kuonekana Bongo kuanzia 2005, kwaio ile fashion ilikaa sana yani mfano mtu anunue verossa 2019 au 2020 linaloonekana lipo modern hata kwa muonekano ni walau Crown Athlete GRS 180 ambalo nalo lilianza kutengenezwa tangu 2004
Wala hata si la kizamani ni la kisasa kabisaa!
Na si kweli kwamba mark x ilianza kuonekana bongo mwaka 2005 labda useme ilianza kutengenezwa mwaka huo!
Na pia unapaswa ujue mark x ni successor wa brevis combined na verosa ndio kikazaliwa kitu kinaitwa mark x
 
Umeandika kama vile mtu anaemiliki Mark X (1st generation 2004-2009) mimi nimeanza kuona Mark X ya kwanza bongo mwaka 2005 sikumbuki ni mwezi gani haswa ila ni mwaka huo, wakati zikiwa zimeanza kutengenezwa mwaka 2004 mwishoni, 1st gen Mark X lina muonekano wa kizamani maana show yake imekaa sana kuanzia hio 2004-2009,

Mark X bomba na nzuri ni zile za kuanzia 2009( 2nd Generation, pia Original Predecessor wa Mark X ni Mark II ( Brevis na Verossa) zililetwa ili kujaribisha soko mbadala wa Mark II ila zilishindwa kuleta tija sokoni...ila ngoja nikubaliane na wewe ulichosema ila ufafanuzi wangu ndio huo mkuu...
 
Back
Top Bottom