Inawezekana kweli...!

Boniface Evarist

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
1,147
512
Muda si mrefu katika pitapita kwenye nimekutana na picha hii hapa ila nimeshimdwa kuamini kama kuna uwezakano wa hili au ndo ubunifu tu wa kutengeneza picha?
 

Attachments

  • jaman.jpg
    jaman.jpg
    33.1 KB · Views: 289
Nothing is incapable when it comes to Human being. We only limit ourselves! picha hii ya kweli kweli kabosa mkuu!
 
nimezipenda tu raba zake huyo mgonjwa, kama za kwangu vile!?
 
Sasa hapo la kushangaza ni lipi!?.......mbona huko Bagamoyo kuna mtu alizaliwa bila kichwa na akawekewa nazi na bado anaishi kwa raha mpaka leo?

Naomba unitajie jina la huyo mtu kama hautajali mzee, natamani kweli nimjue lakini sasa mbona kama umetubania, taja, taja, mkuu.
 
Back
Top Bottom