Kumbukumbu zako ni za ovyo kabisa hajawahi kutamka hivyo hayo ni yako na usiwalishe watumishi wa mungu walotukuka kama pengo, kajitathmini upya uje na adishi la kweli
Kila nikifikiria napatwa na wasiwasi huyu mtumishi wa mungu ambaye nimemwamini miongo na miongo asije chomwa moto nikiwa nakula maziwa na asalli pale ikulu ya mbinguni. Alisema JK ni chaguo la MUNGU, ni wakati tukataka kujua MUNGU yupi maana sasa ni wazi mungu wake huyo sio mungu ambaye watanzania wote wamemfahamu tangu kutokea hapa duniani.
Kwa dhati ni vema nichukue fursa hii kukuomba ukiri mbele za watu kama ulivyotamka wakati ule mbele za watu na hivyo kuendelea kuwashawishi wamwage kura kwa Shetn, kuwa, wakati unaongea na mungu shetani alipita na kukuchanganya kidogo ukatamka maneno kama yale, unajua maneno kama yale leo yana gharimu taifa, na kwa kiongozi wa dini kama wewe sio vema kukaa kimya pale unapokuwa umekosea, ni wazi mmetufundisha kuwa lazima kutubu, tena unatubu mbele ya mtu ambaye anamwakilisha mungu at that time. sasa kanusha usemi wako amani na heshima idumu. Do you still believe JK ni chaguo la mungu??? au ulichanganya madesa mkuu wa dini yangu???
Nawasilisha