Inaumiza sana..

marida

Senior Member
Oct 27, 2011
168
20
Ni rahis sana kuwapoteza watu muhimu kwenye maisha yetu,either rafiki,mchumba,ndugu wa karibu rather than kuwapoteza watu tunaowachukulia kawaida tu.Inauma sana,na sijui kwa nin vitu hivi hutokea?
 
Pole marida.
Ni kawaida ya binadamu kuchukulia watu for granted hadi pale tunapowakosa. Haidhuru, angalia usihuzunike na kukosa chance ya kuwathamini wengine hadi watakapoondoka maishani mwako. Jiwekee utaratibu wa kumthamini kila mtu na kila kitu maishani mwako, utajisikia vizuri. Inasaidia pia kutubu na kumuomba mungu akusamehe.
 
hatujui thamani ya watu walio karibu yetu hadi tunapowapoteza.

Very true!
 
Yani anasema yeye kafurahi kufiwa na jamaa yake kuliko mtu asiye muhusu labda anapewa urithi.
 
Marida unaambiwa,meeting somebody is not a coincidence but destiny...So,never underestimate anybody,tena hao unaowachukulia poa,wakiamua kuondoka,Utabakia ukihuzunika tu.Treasure everyone like Gold...isije ukawa busy unacollect stones while Gold unaziacha
 
Back
Top Bottom